SAKATA LA WATUMISHI WA SERIKALI KALIUA-TABORA

popondege

New Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Mwl Mkuu shule ya msingi Ipeja wilaya ya Kaliua na mtendaji wa kijiji waomba na kupokea rushwa ya sh.mil moja kutoka kwa mzazi wa mtoto anayeitwa YUNGE JAGINA MADOGOSA,ambaye ana mimba na ni mtahiniwa wa mtihani wa darasa la saba Septemba 2017,na amefichwa ili kupisha mtihani wa drs la7 upite na viongozi wa halmashauri wawabeba Mtendaji na Mkuu wa shule hiyo(wamepewa taarifa lkn wamejibu hovyo)kwa kuwatisha walim wa shule tatu(UYOWA S/M,MNANGE S/M na IPEJA S/M)Kwa kutowahudumia vzr kwa miaka mitatu kwa sababu ya kutowapa ushirikiano wa kuhujumu pesa za serikali(CAPITATION&ELIMU BURE)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ww umeelewa ulichoandika?
 
Kama unajua kusoma hebu soma ulichoandika sio unatupa kibarua cha kusoma urojo wako.
 
dalili za unoko hizo hata ulichoandika hakieleweki ... kama wamepokea rushwa wapi tamko la takukuru ... mwanaume acha wivu na umbea
 
Mwl Mkuu shule ya msingi Ipeja wilaya ya Kaliua na mtendaji wa kijiji waomba na kupokea rushwa ya sh.mil moja kutoka kwa mzazi wa mtoto anayeitwa YUNGE JAGINA MADOGOSA,ambaye ana mimba na ni mtahiniwa wa mtihani wa darasa la saba Septemba 2017,na amefichwa ili kupisha mtihani wa drs la7 upite na viongozi wa halmashauri wawabeba Mtendaji na Mkuu wa shule hiyo(wamepewa taarifa lkn wamejibu hovyo)kwa kuwatisha walim wa shule tatu(UYOWA S/M,MNANGE S/M na IPEJA S/M)Kwa kutowahudumia vzr kwa miaka mitatu kwa sababu ya kutowapa ushirikiano wa kuhujumu pesa za serikali(CAPITATION&ELIMU BURE)

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawa ndio waalimu wakuda na wewe ni mwalimu wa shule tajwa hapo umekuja kuleta umbea huku,, walimu jamani??? Kweli mtabaki kuwa maskini kabisa kwani ungekaa kimya ingekuwaje ili kila mtu aje abebe msalaba wake?? Hela ya serikali wewe inakuuma nini ikiwa kuna wenzio wanajilipa posho ya laki nne kwa siku? Na wewe unapokea laki 3 kwa mwezi?? Acheni kuchukiana walimu mbona kada zingine wana pendana na wanajitahidi kubebana ili wasiharibiane vibarua?? Walimu mna nini??
ASANTE KWA TAARIFA HAO WALA RUSHWA TUTA RARA NAO MBERE , na huo ndio uzalendo unao takiwa usifumbie macho maovu
 
Ni umbeya mtupu na chuki binafsi.
Wewe unataka huyo binti aachichwe shule?
Utapata faida gani?

Vitu vingine unapaswa ukae kimya tu, ni mambo ya utu na ubinadamu.
 
Back
Top Bottom