Utata wa CHADEMA unakuja hapa.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa CHADEMA unakuja hapa.....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ben Saanane, Oct 24, 2011.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Wakati chadema wakipigania demokrasia na kulalama kuwa CCM ina udikteta lakini ndani ya chama hicho kuna makada wanaofikiria kinyume.Kuna wengine wanampigania Gaddafi.Kuna posts nimeziona zenye utata sana Ben Saanane anamtetea Gaddafi na kumtangaza shujaa wake.Kwa staili hii sidhani kama chadema wako serious na wanachosema.Unategemea wananchi wa kawaida wataelewaje?Nilisha sema huyu jamaa ni wa kuangalia sana huko baadaye Tanzania tutakuja kutia aibu kwa kutoa dikteta wetu......Yeye haoni makosa ya Qaddafi? haya hapa chini siyo maneno yangu nimeyatoa kwenye post nyingine-;

  'Kuwa mpinzani siyo kupinga kila serikali iliyoko madarakani.Kufanya hivyo ni uzuzu.Sio kila chama cha upinzani pia kinakuwa kwenye harakati kwa maslahi ya wananchi wake na Africa kwa Ujumla.

  Kwa mfano mimi nimekuwa nikipenda harakati za MMD wakati Levy Mwanawasa Anagombea nimekuwa nikivutwa sana na sera zake na hata alipokuwa madarakani ingawa mara nyingi nimekuwa sipendi status quo nilijikuta bado nikitamani ashinde awamu ya pili ya Urais Zambia.Hata hivyo katika uchaguzi uliofuata baada ya Mwanawasa kufariki nimekuwa nikivutiwa sana na sera za michael Sata against sera na mfumo wa kusimamaia raslimali za wazambia uliosimamiwa na Rupiaha Banda wa chama kile kile cha MMD.Sasa kwenye siasa ni suala la kuangalia Angle zote za ideas

  Ndiyo maana kuna watu kwenye mitandao wamefikia hataua ya kuchukulia mambo vibaya na au hata watu kuchukulia tofauti unaposema kitu kinzani na jinsi walivyotegemea iwe.Ukiwa mwanasiasa au chama cha siasa chenye kutoa mawazo huru bila unafiki utapata shida kweli kweli,na inapaswa kuwa hivyo.

  Kwa mfano pamoja na kwamba napenda Demokrasia(ingawa Demokrasia hii ya Magharibi inahitaji mjadala) lakini mimi binafsi nawaona NTC kama vibaraka na fedheha ya Afrika.Gaddafi atabakia kuwa shujaa wangu.

  Zimbabwe chama cha Upinzani cha MDC nakiona fedheha nyingine ya Afrika.comrade Mugabe anabakia kuwa shujaa wangu.Huko Uganda mimi naendelea kumuona Museveni kama kiongozi Muhimu na mwanamapinduzi aliyefanikiwa kwa kiwango kikubwa inagawa si kwa asilimia zinazotakiwa kwa wanamapinduzi wa kweli kwa ajili ya uganda na kwa Africa.Hata hivyo Museveni ametia aibu kuruhusu operation ya Kumtafuta kony kuwa assisted na America,hiyo ni Embarassment.Si kila serikali ilyoko madarakani ni mbaya,haramu na si kila chama cha upinzani ni haramu au halali katika muktadha wa mapinduzi au maslahi kwa wananchi.tunahitaji mijadala mikali zaidi ya hii.........na hasa dhana ya democracy katika western Model kuwa imposed Africa!
  '


  [​IMG] JF Senior Expert Member [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 18th January 2007
  Posts : 3,594
  Rep Power
   
 2. m

  mharakati JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huo nafikiri ni msimamo binafsi wa huyu jamaa na si chama kizima...ila kinachotia shaka ni wafuasi wa chadema na baadhi ya viongozi kutotaka kukosolewa au kutokubali ubaya wao wa hili au lile hapo ndiyo tatizo kwani hii tamaduni ikiendela na wakipata dola italeta matatizo ndani na nje ya chama na kwa taifa kwa ujumla
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mharakati,

  Ni kweli.Watanzania waipotezee Chadema tu.angalia msimao wake mwingine hapa unaoashiria hullka zake za kidikteta nature iile ya akina Gaddafi

  Ben Saanane alifikia hatua ya kusema : " Hebu jiulize Omar bongo wa Gabon alitawala kwa muda gani na bado mtoto wake ndiye aliyeingia madarakani Ombamba Ben Ali Bongo!

  Kumbe tatizo ni sisi.Africans especially black Africans are their own worst enemy.Now ghaddafi might not have been a saint but then again show me a saint in the world.It is a matter of "who has not sinned cast the first stone".This whole event to get rid of ghaddafi was a plot put together by the western powers for their own interests.

  We are witnessing the colonizing of africa 2.0 and obama is the man in the driving seat.Obama has basically hod winked all of africa and will deliver africa as a prize to his white masters.Namshangaa Mwanamapinduzi niliyemuamini na ninayemuheshimu Comrade Yoweri Kaguta Museveni kuruhusu America kumsaka kony,ni kwa nini asingeomba msaada kutoka AU? Hata comrade Mugabe atakuwa anashangaa sana.Sijawahi ona mwanamapinduzi wa kweli aki-trade na mabazazi wa kibeberu!

  You have been warned. Keep believing the western media propaganda like cnn,sky,fox etc. I have stopped watching those channels long time ago.

  Rule of thumb for you guys, If a western country like america or britain is against a leader of a country stop and think. The leader must be doing something fundamentally right.If western government like the leader of country then your leader must be doing something fundamentally wrong.
  "
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana maoni yake.na hayawakilishi mawazo ya chadema.na mawazo ya mwita25 hayawakilishi mawazo ya ccm.mia
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona huu ni mtazamo binafsi wa mtu na sijaona popote panapoonyesha kwamba ni tamko au ni Mtazamo wa chama! Vipi Mjomba au kipigo cha jana cha Man U bado unaweweseka!
   
 6. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Kweli JF imevamiwa!!, utumboooo ndio unaanza kushamili. mi nilizoea kuona kichwa cha habari ambacho hakiendani na habari yenyewe kwenye magazeti ya UDAKU, sasa huyu wakala wa magamba naona analeta udaku style hapa JF!, huna cha kuongea kukosoa chadema kaa kimya au usifie, sio kuandika ovyo! Kwani Membe ni Chadema? Gadafi na Mugabe wanayo mazuri sana ya kuigwa, na huo utabaki kuwa ukweli daima.
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Je,sisi wananchi wa kawaida tumueleweje?sisi tunajua ni mwanaharakati na mwanasiasa wa chadema tutashindwaje kutofautisha na chadema? kuna mtu kasema hamtaki kukosolewa hivyo sishangai
   
 8. S

  Straight JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha upimbi wewe... Kuwa na desturi ya kujenga hoja yenye mashiko... Haya 2eleze Membe naye ni CDM, anza kuoanisha mabaya na mazur ya Gadaf kisha jenga hitimisho, sio kukurupuka 2 na kusema gadaf mbaya' wa2 wenye akili watkushangaa unajenga hoja bila facts... Hopeles kabisa kama una facts kaa kimya... Pumbaf mkubwa..
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mueleweni tu kuwa hayo ni maoni yake binafsi.. Usijilazimishe kumwelewa.
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  acha unaniliu wewe ....au amesha ku.....nini!
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Kwenye Sheria za makampuni pamoja na theory mbalimbali za kiuchumi na kibiashara kuna kipengele kimoja kinaelezea Biashara na Mwenye Biashara ni vitu viwili tofauti.
  Hivyohivyo kwa Chama na Wanachama.
  Ndio maana sishangai Sitta akiwa na msimamo tofauti na wa chama chake katika masuala mbalimbali
   
 12. k

  kaeso JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayo ni maoni yake na sio ya chama chake.
   
 13. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Free country
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nuclear1,
  Sijawahi kusoma thread yako hapa JF inayomsupport Ben, kama ipo utanisaidia. Siku zote umekuwa against Ben hasa kipindi cha uchaguzi wa bavicha ulituletea hapa habari nyingi sana tena mbaya tu dhidi ya Ben. Bila shaka alipoenguliwa kwenye kinyang'anyiro ulifurahi sana.

  Mkuu usisahau kwamba Ben ametoa maoni yake as an individual, hajatoa statement kwa niaba ya chama. Kwahiyo usijaribu hata kidogo kukihusisha chadema na maoni ya mwanachama wake mmoja. Kuna watu wengi sana wametoa maoni yao kuhusu kifo cha gadafi, hata ccm na serikali yake tumesoma kwenye mitandao maoni ya vionbgozi wake yanavyotofautiana. Mathalani waziri membe anapotoa kauli za kumlilia gadafi na kuwabeza NTC na kusahau kwamba gadafi huyu huyu ndiye aliyempa msaada wa kijeshi iddi amini apambane na majeshi yetu wakati wa vita ya kagera, kwahiyo kuna watanzania wengi hatukubaliani na kauli ya waziri membe. Hatukubaliani na kuuawa kwa gadafi maadam alishakamatwa lakini hatuwezi kumuunga mkono membe kwa kuwabeza NTC.

  Kwahiyo utaona kwamba waziri membe ametoa statement kuwasilisha msimamo wa serikali yetu na wadau/watanzania wanawajibika kuujadili msimamo wa serikali yao. Lakini Ben Saanane, hana cheo chochote ndani ya chadema, kama walivyo wanachama wengine waliotoa mitazamo yao, kauli yake haiwezi kamwe kuchukuliwa kwamba ndio msimamo wa chama.

  Kwahiyo kama una mambo yako binafsi dhidi ya ben ni vizuri ukatafuta namna ya kushusha hasira na tuhuma zako bila kukihusisha chadema, after all yeye si msemaji wa chama. Ungekuwa umeleta hapa msimamo wa katibu mkuu wa chama, au mwenyekiti wa chama, au mkurugenzi wa habari na uenezi hapo tungekuelewa.
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Nuclear1,

  I don't trade words with people,i trade facts.Maoni niliyotoa ni yangu Binafsi sijui ni kwa nini uyahusishe na Chadema? Mna lenu jambo.Msimamo wangu juu ya Gaddafi au kiongozi yeyote na ideas zake hauwezi kuwa diluted au kuyumbishwa na mtu yeyote,Jenga Hoja!

  Unapoongelea demokrasia sijui unalenga nini kwenye hii ishu ya Gaddafi.Is it a must for the whole world be democratic, whats the essence of their democracy they preach when they force it on nations? They did it to Iraq, they did it to Afghanistan. Assuming they practiced another form of leadership that will be exactly what the west will be imposing on nations, and we silly Africans the lowest on the food chain who have entirely lost our roots, origin and culture will be brain washed into accepting.

  Democracy is not effective and does not promote change or reform, which is something less developed countries desperately need. Hata Sis Tanzania ni lazima tuangalia njia sahihi za kutumia kupush Reform Agenda in supplimentary of democracy,yes we have to.The western judicial system is fair in principle, but in most cases easily exploited due to corruption. It is the most unstable form of Government.It is suitable on in homogenous society

  Some ill-informed minds will always Rant and echoes what imperialists media feeds them.Democracy is a product of the west. If it works for them, fine but what right do they have to determine the fate of others? China practices communism NOT democracy and today they have one of the strongest economies to the extent America was owing them over $10trillion in debt in 2008 when Obama became president (i wonder how much the US owes now. .lol). The ideals,fundamentals,way of life,mentality and religion of these countries is not the same as the west.


   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unatatizo la kisaikolojia!
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ndivyo mlivyo na kila mtu anawajua.Endeleeni kumlea siku atakapogeuka Gaddafi watanzania hatutakubali.Kwanza hata mimi nimetoa maoni tu sijui ni kwa nini yakuumize kiasi hicho
   
 18. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mtazamo wa mtu binafsi
  kwani ulisikia CDM wametoa tamko lolote?
   
 19. S

  Snitch Senior Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I am extremely impressed with you views on what the west are up to.....

  Tatizo hapa wengi tunadhani kila kinachosemwa kuhusu viongozi wetu kina ukweli bila ya kujua kuna Hawa wazungu hakuna cha bure toka Kwao bila malipo whether it be indirect or direct lazima ULIPE fadhila...

  Je
  Tujiulize Hawa wanaharakati TGNP,LRHW na wengine wanaopata fedha kwa Hawa mabwana zao na kuongea mpaka mapovu yanawatoka mdomoni wanaimba nyimbo za watanzania au wanauzalendo wa dhati?

  Je tujiulize sisi hatuna ustaarabu wa kuishi au kujua haki zetu bila kupata msukumo wa ufadhili kwa baadhi ya vikundi vinavyofanya harakati kwa kivuli cha kutetea haki jamani hakuna kitu ni njaa tu..

  Kumbukeni wakina

  Ni kweli.Watanzania waipotezee Chadema tu.angalia msimao wake mwingine hapa unaoashiria hullka zake za kidikteta nature iile ya akina Gaddafi

  [/FONT]Ben Saanane alifikia hatua ya kusema : " Hebu jiulize Omar bongo wa Gabon alitawala kwa muda gani na bado mtoto wake ndiye aliyeingia madarakani Ombamba Ben Ali Bongo!

  Kumbe tatizo ni sisi.Africans especially black Africans are their own worst enemy.Now ghaddafi might not have been a saint but then again show me a saint in the world.It is a matter of "who has not sinned cast the first stone".This whole event to get rid of ghaddafi was a plot put together by the western powers for their own interests.

  We are witnessing the colonizing of africa 2.0 and obama is the man in the driving seat.Obama has basically hod winked all of africa and will deliver africa as a prize to his white masters.Namshangaa Mwanamapinduzi niliyemuamini na ninayemuheshimu Comrade Yoweri Kaguta Museveni kuruhusu America kumsaka kony,ni kwa nini asingeomba msaada kutoka AU? Hata comrade Mugabe atakuwa anashangaa sana.Sijawahi ona mwanamapinduzi wa kweli aki-trade na mabazazi wa kibeberu!

  You have been warned. Keep believing the western media propaganda like cnn,sky,fox etc. I have stopped watching those channels long time ago.

  Rule of thumb for you guys, If a western country like america or britain is against a leader of a country stop and think. The leader must be doing something fundamentally right.If western government like the leader of country then your leader must be doing something fundamentally wrong.
  "[/QUOTE]
   
 20. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Inapaswa kueleweka kuwa kila mtu ana uhuru wa kuamua atakalo. Mimi sioni ubaya kwa mtu kusimamia kile anachoamini. Inakupasa kutambua kuwa kuna misimamo ya aina 2. Ule wa binafsi na ule wa chama. Sasa huyo amezungumza kile anachoamini. Sidhani kama Chadema wameshatoa msimamo wao.
   
Loading...