Hivi Huduma ya Royal Mail inapatikana Tz

Hivi Huduma ya Royal Mail inapatikana Tz

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nauliza kama hiyo huduma inapatikana Tz, na je ofisi zao ziko wapi?
 
Hiyo si huduma ya posta ya uk? Tz ipo ya kwetu pia! Au jina Royal Mail linachanginyi??
 
kuna sehemu wame andika kuwa una weza was
Mkuu hizo link nilikuwa nimeshazicheki lakini sikuona anywhere wanakoeleza ofisi zao ziko wapi maana mimi kuna mtu anataka nitumia parcel kwa njia hiyo maana ndiyo option pekee aliyo nayo otherwise nisubiri mwezi mwingine ndipo atakuwa na other options
iliana na huduma kwa wateja ili kupata msaada zaidi
 
Hiyo si huduma ya posta ya uk? Tz ipo ya kwetu pia! Au jina Royal Mail linachanginyi??
Sasa mkuu kama ni hivyo mbona mtuna parcel yuko Dos Cuadras offshore California na bado hiyo huduma huko inaitwa hivyo hivyo wakati kwa maelezo yako ni posta ya UK
 
Hiyo si huduma ya posta ya uk? Tz ipo ya kwetu pia! Au jina Royal Mail linachanginyi??
nazani alitaka kujua kama ilivyo Fedex, DHL,UPS, MyUS nk... je wana ofice ili aweze fika ofisini na kuhudumiwa, zaidi umempa wazo zuli la kufika posta na kutuma mzigo kwenda unapo enda...
 
Sasa mkuu kama ni hivyo mbona mtuna parcel yuko Dos Cuadras offshore California na bado hiyo huduma huko inaitwa hivyo hivyo wakati kwa maelezo yako ni posta ya UK
Royal Mail ni posta ya Uk, kama huduma zao zinapatikana huko watakuwa wamejikuza mpaka huko, hawajaamua labda kuja Tz. Ila ni posta ya Uk kitengo cha mails na parcels!
 
Prohibitions


Here is an indication of prohibited items for mailing to Tanzania. For further information, or further clarification please refer to the Tanzanian Post website

Please also refer to the Universal Postal Union - full prohibitions and restrictions list - PDF 7MB

You must not send any item addressed to a country in which the item is unlawful or prohibited. When an item is restricted you must comply with the restriction. Prohibitions and restrictions vary from country to country, and can sometimes apply to items which you may think are ordinary. The information below is provided in good faith, but Royal Mail is not responsible for it, and it should be viewed as a guide only. Specific restrictions and changes may be enforced at short notice, so for clarification please contact the destination country's trade, postal, and customs authorities as appropriate. Business customers are strongly recommended to do this.

Please remember that Royal Mail also prohibits and restricts certain categories of items. For more information read our guidelines on international prohibited goods and international restricted goods

Prohibited items
Prohibited products are not permitted in the mail under any circumstances.

  • Lithium batteries and equipment containing lithium batteries
  • Live animals
  • Meat and edible meat offal
  • Fish and crustaceans, molluscs and other aquatic invertebrates
  • Dairy produce; birds' eggs; natural honey; edible products of animal origin, not elsewhere specified or included
  • Products of animal origin, not elsewhere specified or included
  • Vegetable products
  • Live trees and other plants; bulbs, roots and the like; cut flowers and ornamental foliage
  • Edible fruit and nuts; peel of citrus fruit or melons
  • Coffee, tea, maté and spices
  • Prepared foodstuffs; beverages, spirits and vinegar; tobacco and manufactured tobacco substitutes
  • Preparations of cereals, flour, starch or milk; pastrycooks' products
  • Beverages, spirits and vinegar
  • Products of the chemical or allied industries
  • Pharmaceutical products
  • Photographic or cinematographic products
  • Footwear, headgear, umbrellas, sun umbrellas, walking-sticks, seat-sticks, whips, riding crops and parts thereof; prepared feathers and articles made therewith; artificial flowers; articles of human hair
  • Footwear, gaiters and the like; parts of such articles
  • Machinery and mechanical appliances; electrical equipment; parts thereof; sound recorders and reproducers, television image and sound recorders and reproducers, and parts and accessories of such articles
  • Electrical machinery and equipment and parts thereof; sound recorders and reproducers; television image and sound recorders and reproducers and parts and accessories of such articles
  • Vehicles, aircraft, vessels and associated transport equipment
  • Vehicles, other than railway or tramway rolling-stock, and parts and accessories thereof
  • Aircraft, spacecraft and parts thereof
  • Ships, boats and floating structures
  • Arms and ammunition; parts and accessories thereof
  • Miscellaneous manufactured articles
  • Toys, games and sports requisites; parts and accessories thereof
HAYA MAELEZO YAO YANA ONESHA KUWA WANA FANYA KAZI KWA KARIBU NA POSTA TZ.... Ukiangalia ktk paragrafu ya kwaza juuu
 
nazani alitaka kujua kama ilivyo Fedex, DHL,UPS, MyUS nk... je wana ofice ili aweze fika ofisini na kuhudumiwa, zaidi umempa wazo zuli la kufika posta na kutuma mzigo kwenda unapo enda...
Okei, DHL nina uhakika ipo ila nimewahi uliza kutuma form tu kwenda Uk ktk bahasha ya A4 nikachoka!
Huduma za kusafirisha na kupokea parcela zipo hapa Tz pia!
 
Royal Mail ni posta ya Uk, kama huduma zao zinapatikana huko watakuwa wamejikuza mpaka huko, hawajaamua labda kuja Tz. Ila ni posta ya Uk kitengo cha mails na parcels!
Ok mkuu nimekuelewa. Let me see
 
Okei, DHL nina uhakika ipo ila nimewahi uliza kutuma form tu kwenda Uk ktk bahasha ya A4 nikachoka!
Huduma za kusafirisha na kupokea parcela zipo hapa Tz pia!
Asante sana mkuu hivi posta ya tz wana huduma wao kama wao ya kupokea pesa tofautu na western union na money gram ambapo wao ni mawakala
 
Back
Top Bottom