Nina huzuni sana moyoni mwangu nikiwaza PPF yangu sitapata mpaka nifikie ukongwe.
Kwanini hela za kwangu mwenyewe halafu mnipangie matumizi jamani?Isitoshe hela hiyo ya mafao huko uzeeni ni...
Imma advocate v/s mond na kiba,hawa wote ni watanzania,wanahitaji pole,kwenye shida na raha wengine wanahitaji pongezi,na wengine wanahitaji pole,lkn mpaka sasa hivi mond,na kiba wamepongezwa na...
Ni katika mjadala unaohusu utapeli na wizi mtandaoni na namna ya kuuepuka.
Kipindi kinaendelea.
Maxence Melo ni mtaalamu wa Usalama wa Mtandao.
Mkuu Maxence ameanza kuzungumza kama ifuatavyo:-...
Hello JF,
Leo nilikua nina ombi,
Serikali itu INVOLVE kwenye maamuzi yake...........
Umuhimu,kama Taifa naamini,kuna watu tofauti,wenye knowledge,skills and experience tofauti,
Wote kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mwigulu Nchemba amesema serikali inaandaa utaratibu wa kuwawezesha wafungwa wenye ujuzi na walijirekebisha kitabia kuweza kujiajiri na hata kuajiriwa hatua...
Habari.
Naomba kujua Lissu anamiliki law firm yake au ni partner kwenye law firm ipi? Au anapractise law mwenyewe.
Je yeye ame specialize kwenye vitu gani hasa zaidi ya mambo ya katiba na kesi...
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha magazeti asubuhi kupitia RFA, siku akiyasoma huyu jamaa utagundua kuwa kuna habari hasomi kwenye magazeti mengine tena ukurasa wa mbele, atakusomea habari kwa...
Samahani wana jamvi. Naomba kuelekezwa jinsi ya ku search chanel kwenye king'amuzi cha continental. Maana Kila Niki search naambiwa database empty. Kama kuna njia nyingine naomba mnisaidie
CHADEMA,kupitia Meya wa jiji la Dar-es-Salaam, nawashauri muanzishe harambee ya kuwachangia waathirika wa bomoabomoa mkoa wa Dar-es-Salaam.
Zoezi hili liratibiwe na Meya kwa kushirikiana na...
Wandugu za weekend,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jamaa kaweka Planning yake iko poa yaani ana focus sana. Ndio sifa ya kiongozi kuangalia ya mbele kabla ya watu wako.
Kwa plan ya...
Kumaliza siku ndefu ya kazi kisha kupitia pub sio kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwa watanzania. Pombe inatumika kupoza stress za wiki nzima na mara nyingine kuleta ndoto njema.
Japokuwa...
WAKIMBIZI wa Burundi walioko katika Kambi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wamepunguziwa chakula na kusababisha wengine kuanza kujihusisha na wizi.
Hali hiyo ilibainika hivi...
Amancio Ortega Gaona ni mfanyabiashara mkubwa sana wa nchini Hispania na kwa sasa ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, akiwa na makadirio ya utajiri wenye thamani ya...
Nimejaribu kufatilia mafuta mengi ya kupakaa ya losheni ktk ule mchanganyiko wa mafuta huwa huwa wanaandika kwamba wanachanganya na alcohol
Na nikawaza kitu kimoja kimoja huenda kwa mtu ambaye...
Chaneli yako pendwa ya ZBC inapenda kuwatangazia kuanzia tarehe 31/8/2017 watazima rasmi mitambo yao ya analogy na kuingia kwnye mfuno digital hvyo wananchi wote Wanatakiwa kununua ving'amuz ili...
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imekamilisha awamu ya kwanza ya ukarabati wa shule 10 kongwe za Serikali, ili kusaidia miundombinu bora ya kujifunzia na kufundishia pamoja na kuongeza nafasi za...
Niliwahi alikwa ITV,katika kipindi cha MEZA HURU ,kuzungumzia Madawa ya kulevya TANZANIA.
siku 3 baada ya kufanya uchunguzi na namna swala hili lilivyokuwa linashamiri hasa maeneo ya...
Waimbaji wa nyimbo za injili wanagoma kuitwa wasanii! wakati uimbaji wao na jinsi wanacheza ni full wako kisani zaidi! badilikeni, tutawaita watumishi wa Mungu! mnalazimisha muitwe watumishi! nani...
Habari za jioni wanajukwaa! Nahitaji kujuzwa kuhusu sheria hii: Abiria anaekaa kiti cha nyuma baada ya siti za mbele ni lazima afunge mkanda?? Maana nimekutana na utata leo jioni, kuna trafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.