Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,490
Reaction score
8,305
Amani kwenu katika hii siku ya Bwana.
Jamani tuwe wakweli kwa nafsi zetu kuhusu haya mambo mawili hapa,bila chuki wala hiyana.
1.Nyie wamatumbi na wakwere mnaoshupaza shingo humu jamvini kumtetea Manji mnamjua vizuri kweli!mnaweza kubainisha jinsi anavyoonewa sannna!na serikali? Uhalali wa shughuli zake na ustakatifu wake mnaujua vizuri kiasi cha kusimama hadharani kumtetea,au mnasema kwa vile mnajisikia kusema tu. Kama unajua alivyosafi njoo uthibitishe hapa.
2.Hao IMMMA ambao inasdikiwa kuwa ofisi zao zimelipuliwa na serikali kwa ajili ya ACACIA sijui huko mnauhakika ni kweli? Na kama ni kweli nani anataka kuishi na toto linalopeleka siri za ndani kwao kwa majirani?
Siyo tuwe tunajiongelesha tu kindavandava kwa sababu ya uzembe wa kufikiri,katika kila jambo kabla hujasema jiulize ungekuwa wewe ungefanyaje,na pale unapoona ni ngumu kwako angalau kaa tu kimya, mtanzania wewe unataka serikali yako isiendelee ili upate nini sasa,raia wafe au! Uhuru wa Manji unakusaidia nini wewe,jamaa anatema shombo kuliko choo cha stesheni,au unafurahia nini nchi na viongozi wake kudhalilishwa na kuitwa mbwa.
Kama hao watu ni wenye haki,basi jua haki yao itasimama tu,walipwe kisasi kwa kosa gani kubwa walilofanya.
Mpumbavu huamini kila neno bali mwerevu huchunguzachunguza sana,tusijilishe upepo.
Tchao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za CCM ni matope tupu, nyie bunge la Uingireza lilivyoshupalia fedha(chenji) za rada zilirudishwe mbona hamkulalamika?
 
hata manji akifilisika mimi hainisaidii...
hupendi fitna wakati ukichelewa kikaoni unadanganya eti ulipata shida fulani...
maskini hampendi tajiri biologically,psychologically n.k
 
hata manji akifilisika mimi hainisaidii...
hupendi fitna wakati ukichelewa kikaoni unadanganya eti ulipata shida fulani...
maskini hampendi tajiri biologically,psychologically n.k
Kikao cha bia nacho wanajieleza? Huo utajiri wake na kesi zake tumwachie tu mwenyewe kupambana na hali yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1fb4d1129c49481a3248deece0fa615a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom