Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenzetu Kandambilimbili alitutoka tangu 26/12/2010 jumapili na amezikwa jana kwao Bukoba. Alizaliwa mwaka 1971 hivyo ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa na tatizo la kisukari tangu muda mrefu...
0 Reactions
164 Replies
14K Views
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 kupisha sikukuu Eid...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pichani, hizo ndizo nchi zinazoendeshea gari mkono wa kushoto wa barabara na zile zinazoendeshea mkono wa kulia wa bara bara...
8 Reactions
93 Replies
16K Views
Dar es Salaam. Nyumba 300 zilizojengwa kwenye eneo la hifadhi la Bonde la Makamba wilayani Temeke zinatarajiwa kubomolewa. Imeelezwa kuwa eneo hilo limetengwa kwa ajili ya kuendeleza ukanda wa...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Loss of Direction, Very unfriendly Environment Ninaandika kupata maoni yenu juu ya sekta ya fedha, particularly contribution mbovu ya CRDB katika utoaji wa huduma za kibenki. Hapa nazungumzia...
8 Reactions
129 Replies
14K Views
Napenda kuwa wazi kabisa kuwa tabia iliyoonyeshwa na baadhi yetu si ya kukisaidia chama bali ni kukifanya kionekane cha hovyo. Hata kama tunatofauti zetu katika Jumuiya na Chama haipendezi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumemsikia Mkurugenzi wa idara ya Habari na Maelezo, Dr. HASSAN ABBAS, akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es salaam. Kati ya mambo mengi aliyoyazungumza, Dr. ABBAS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baadhi ya Mawakili wasema wameshindwa kutii azimio la TLS la kugoma kwa siku 2 kutokana na umuhimu wa kesi wanazosimamia na uharaka wake. Miongoni mwao ni Albert Msando. ====== MAWAKILI wa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Kama kichwa cha Habari Kinavyojieleza Nipo Hapa kwa ajili ya kujib Maswali Yanayohusu Huu Mradi Ni kod za wananchi zinazotumika Sio mbaya Wananchi wakijua kodi zao zinatukikaje katika Mradi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Unaweka kifurushi cha internet cha wanafunzi kinaisha baada ya dakika 10 kwa kuangalia JF tu, kwa dakika 10! Halotel acheni wizi! mtakimbiwa
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Duniani kuna Madhehebu ya kikristo zaidi ya Million 37 ... Kati ya haya yafuatayo ndio Makanisa yenye vyuo vikuu vingi ulimwenguni... 1: Kanisa Katoliki: Wanazaidi ya Vyuo vikuu 1300...
17 Reactions
161 Replies
20K Views
Nyumba zilizojengwa katika eneo tengefu lililopo Mbagala, Toangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam zimewekwa alama ya X kwa ajili ya kubomolewa kutokana na madai ya kujengwa kwenye eneo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu, Ninataka kununua kiwanja ili nijenge kakibanda kakuanzia maisha chanika. Naomba msaada kwa wanaoijua vizuri chanika,wanisaidie taarifa zifuatazo. Ni umbali wa masaa...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Kampuni ya TIGO sasa yatapeli wateja wake vifurushi:Kampuni ya Tigo sasa ,inajitegenezea kaburi ,la kutoweka katika huduma za simu nchini Tanzania baada ya kuanza utapeli kwa wateja wake.Kwa wiki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*AJIRA ,VIONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA* Na Abdul Nondo. Leo hii kuna picha zinazosambaa mitandaoni na zinazua mjadala katika mitandao ya kijamii , zinahusu wahitimu wavyuo vikuu (graduates)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa vile hakuna sheria inayomkataza Rais kufanya biashara akiwa Ikulu au hata kushirikiana na mmoja wa mawaziri wake kuingia ubia wakiwa madarakani kufanya ujasiriamali. Kwa vile mara nyingi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Na Kiganja wa Mkono WATANZANIA tumekuwa na tabia ya kungoja mpaka viongozi wetu wanapoondoka madarakani, ndiyo tunakua mahodari wa kuwakosoa. Tabia hii hutoa mwanya mkubwa wa kutokuyabainisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa msg nilionayo oryx gesi wamepandisha bei kama ifuatavyo Kg 6 kununua 17"000 kuuza 20"000 Kg 15 kununua 42"000 kuuza 47"000 sijaelewa lengo la kuchezesha watu akili hivi ninii Ni hivi majuzi...
7 Reactions
61 Replies
13K Views
Back
Top Bottom