Chikawe Jr
Member
- Jun 6, 2017
- 23
- 85
Napenda kuwa wazi kabisa kuwa tabia iliyoonyeshwa na baadhi yetu si ya kukisaidia chama bali ni kukifanya kionekane cha hovyo. Hata kama tunatofauti zetu katika Jumuiya na Chama haipendezi kuzijadili kati social networks huo ni utoto uliovuka mipaka ambao chama kikubwa kama hiki cha CCM hakiwezi kuvumilia.
Binafsi nimehuzunishwa sana na kikundi au Mtu aliyeratibu mambo ya hovyo ya kutukana viongozi wa CHAMA kupitia mitandao(JAMII FORUM).
Nakemea vikali tabia hii na endapo itathibitika kuna yeyote kwa maslahi yake binafsi basi hatua kali za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake.
Hatutakuwa tayari kudhalilisha chama na viongozi wake kwa sababu ya tofauti za kutafuta madaraka katika jumuiya za chama. Ujumbe huu uwafikie wote walioomba nafasi ya kupewa dhamana ya kuongoza kuwa kujihusisha na tabia za namna hii ni kujiondolea sifa ya kuwa kiongozi kwa nafasi yoyote ile uliyoomba.
USIPOZINGATIA MAADILI YA CHAMA HUFAI KUWA KIONGOZI NI BORA UKAPISHA WENGINE WENYE MAADILI NA KUIJUA MIIKO NA KUIHESHIMU.
Chikawe Jr
Sent using Jamii Forums mobile app