Niulize Swali lolote kuhusu Mradi wa Mkuranga Project (TANESCO)

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Kama kichwa cha Habari Kinavyojieleza

Nipo Hapa kwa ajili ya kujib

Maswali Yanayohusu Huu Mradi

Ni kod za wananchi zinazotumika

Sio mbaya Wananchi wakijua kodi zao zinatukikaje katika Mradi Huu

Kadri Nitakapo kuwa na muda ntakuwa Najib maswali

NB: Naomba maswali Yote yawe yanayohusu Huu Mradi
 
Tupe kwanza histori ya mradi umeanza kujengwa lini, nani mkandarasi, gharama zake , faida yake, hasara zake, hapo maswali yatatokana na maelezo yako
 
Off topic

Nipo Kigamboni hapa, nawaliza wenyeji hivi ule mradi wa Satelite City vipi? Akanijibu inaonyesha haupo tena. Nikabaki mdomo wazi.
Ipo shida mahali katika kufikia malengo na mipango yetu.
 
Kwani huo mradi upo sehemu gani hapo Mkuranga .......??
Mradi huu umeanza Mbagala na kuelekea Mkuranga sehem Husika

Kwa mkuranga Baada ya sikuku Mafundi walio bobea Fanii hii watawasili Huko kwa ajili ya kuanza kaz
 
Kama kichwa cha Habari Kinavyojieleza

Nipo Hapa kwa ajili ya kujib

Maswali Yanayohusu Huu Mradi

Ni kod za wananchi zinazotumika

Sio mbaya Wananchi wakijua kodi zao zinatukikaje katika Mradi Huu

Kadri Nitakapo kuwa na muda ntakuwa Najib maswali

NB: Naomba maswali Yote yawe yanayohusu Huu Mradi

Project Hii ni umeme wa viwanda na unamlenga Mzee Bakhresa

Sio umeme wa majumban huu
Kwa hapo sina tena cha kukuuliza
 
Le
Project Hii ni umeme wa viwanda na unamlenga Mzee Bakhresa

Sio umeme wa majumban huu

Mbona taarifa hii imekaa kaa kama mtu/kundi linalo taka kujipigia debe au kutaka kuonyesha watawala/viongozi kwamba nyie zaida linapo kuja saula la kusambaza umeme wa viwandani!!

Mkuu, tulimsikia JPJM alivyo kasirishwa na uzembe wenu wa kushindwa kupeleka umeme wa viwandani kwenye kiwanda cha muwekezaji mahili Mzee Bhakresa, leo hii ndiyo mnajifanya mnamjali sana AZAM na wawekezaji wengine huko Mkuranga?
 
Unacho kizungumza ni sahihi ndugu yangu

Shida kuna wapuuz wachache ambao ndio chanzo cha kukwamisha baadhi ya mirad

Ila nw mambo safi
 
Napenda kufahamu changamoto zinazo kabili huo mradi wa umeme kisiasa, uchumi, Jamii n. K
Kijamii Mradi unapita ktk makaz ya watu baadhi ya watu hawatak nguzo zisimame ktk viwanja vyao

Baadhi ya wananchi wengi wanajua Kuwa mradi huu ni kwa ajili ya matumiz yao ya majumban

Kiuchum mamlaka husika Iangalie Mafund wanaosimama ktk nguzo muda mwingi na mbaya zaid jua Kali iwajali zaid hawa watu kwa sababu mazingira yao sio mazur

Kisiasa Hakuna kitu chochote
 
Back
Top Bottom