mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Duniani kuna Madhehebu ya kikristo zaidi ya Million 37 ...
Kati ya haya yafuatayo ndio Makanisa yenye vyuo vikuu vingi ulimwenguni...
1: Kanisa Katoliki: Wanazaidi ya Vyuo vikuu 1300 ulimwenguni kote.
2:Waanglikana:Wanazaidi ya Vyuo 131 ulimwenguni kote.
3:Waadventista Wasabato (SDA ) Wanavyuo zaidi ya 120 ulimwenguni kote
4:Wabaptisti hawa wanavyuo zaidi ya 72 ulimwenguni Kote.
5: Kanisa la kristo (Church of Christ) hawa wanavyuo takribani 31 ulimwenguni kote, Wakimiliki chuo kikuu kiitwacho pepperdine university chuo chenye mandhari nzuri inasadikiwa kuliko vyuo vyote ulimwenguni.
"Mkamate sana elimu, usimuache aendezake maana yeye ndio uzima wako".