Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana
5 Reactions
55 Replies
8K Views
Shaka Ssali mtangazaji gwiji wa "Voice of America" yuko Dar Es Salaam hivi sasa akijiandaa kwa matangazo maalum ya #StraightTalkAfrica. Matangazo hayo yatakujia moja kwa moja kutoka studio za...
13 Reactions
64 Replies
52K Views
Ndugu wa DAWASCO Wanachi wa Mbwepande na Bunju B, bado tuna kilio kikuu cha maji safi ya bomba. Wiki mbili kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa na watendaji wa mkoa wa Dar, nilisikia Mkurugenzi mkuu...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Nyerere alijenga Morogoro Road, Mkapa akajenga Morogoro Road, Kikwete akajenga Morogoro Road, Rais Magufuli anajenga Morogoro Road Something must be wrong with Morogoro Road Usione Nipo Kimya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kufuatia changamoto ya wananchi kushambuliwa na tembo na kuuawa pamoja na mashamba yao kuharibiwa mkoani Ruvuma Shirika la uhifadhi mazingira duniani(WWF) limedhamini mafunzo ya miezi mitatu kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha...
14 Reactions
115 Replies
11K Views
Katika siku za karibuni shillingi ya Tanzania imezidi kushuka thamani dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi juzi shillingiilikuwa inabadishwa 2230 kwa dollar moja ya Kimarekani kwa kiwango cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dar es Salaam — The Ministry of Energy and Minerals has opened the tendering process for the construction of Rufiji Hydropower project at Stiegler's Gorge. The project will see the construction...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
RUKWA: Mahakama Kuu imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela watu 6 kwa kosa la kula njama kutaka kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi. ========== Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natoa pongezi kwa kituo hiki kwa kutoirusha kabisa habari ya kuzuia bomoabomoa kwenye bonde la Msimbazi na kule Tua ngoma . Wahusika hawajawahi kuwa na huruma na wananchi bali walilenga kupata...
32 Reactions
76 Replies
8K Views
Kwenye shughuli nyingi tunazoshiriki kunakuwa na mikataba inayozisimamia. Ukiomba zabuni au kuuza mali yako, unafanya hivyo kwa mikataba ya kisheria. Hata unaposajili biashara unaruhusiwa kuingia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa muda wa wiki moja wateja wa nmb tulio na mastercard(zile za blue),tunahenya yaani kila dakika hakuna mawasiliano. Zile za njano naona zipo okay,sasa ushaur tu kwa nmb ni kuturidishia kadi za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu naomba kujua basi zuri la kutoka Dar kwenda Mtwara na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Nawasalimu wana jamvi. Naomba kujua kwa wenye experience, ni hoteli gani mjini Addis Ababa Ethiopia ni nzuri kwa conferences na bei nzuri i mean reasonable. Naomba munipe majibu ndugu zangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pole sana Bukoba,nasikia na nyinyi mnaitaji kusemewa na Makonda siyo? ---------- Bomoa hiyo iliyoyakumba baadhi ya majumba ya baiashara ikiwemo nyumba za kulala wageni, inasimamiwa na meneja wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mhandisi Mwandamizi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Goyagoya Mbenna amepata ajali ya gari eneo la Nanganga, Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara akiwa safarini kuelekea Songea, mkoani Ruvuma siku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Asalam alaykum. Wiki chache zilizopita wadau nilifanikiwa kutembelea mji wa Tel Aviv katika nchi iliyobarikiwa na watu wake kulaaniwa ya Israel. Nikiwa huko katika moja ya hotel za nyota nne ya...
18 Reactions
97 Replies
10K Views
Je hii ni Halali Msalaba kuwekwa kwenye matamanio haya ?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom