msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,767
- 5,905
Habari za wakati huu wakuu,
Ninataka kununua kiwanja ili nijenge kakibanda kakuanzia maisha chanika.
Naomba msaada kwa wanaoijua vizuri chanika,wanisaidie taarifa zifuatazo.
Ni umbali wa masaa mangapi kutoka cicty centre?
Na je naweza kuishi huko huku nafanya kazi mwenge?
Vipi hali ya usalama yani kuhusu wezi na vibaka?
Na kuna fursa gani ya biashara ndogondogo?
Na vipi kuhusu huduma za maji na umeme zimefika?
Kama ndiyo, kwa kiwango gani?
NATANGULIZA SHUKRANI