Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wana na wadau wa jamiiforums. Naomba nipate ufafanuzi juu ya terminologies hizo hapo juu kwa wajuzi na wenye ufahamu wa mambo ya miji na mipango miji. Pia dar es salaam ipo katika kundi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waandishi wa Habari wametakiwa kuripoti taarifa sahihi za hali ya hewa ili kuwasaidia wananchi kuepukana na athari zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Mh. Waziri Ni ombi langu tu kuwa na jicho la tatu kwenye hizi Karanga zinaitwa Diamond. Huku mtaani mazingira yameharibika ghafla. Kila mahali kuna pakiti za karanga na ukizingatia ni pakiti za...
16 Reactions
208 Replies
18K Views
Baadhi ya akina mama wajawazito wanaodaiwa kujifungulia sakafuni katika kituo cha afya Sokoine Singida Mjini, hali hiyo inatokana na kitendo cha kituo hicho kuzidiwa na wajawazito kwa zaidi ya 10...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema imeanza mazungumzo na Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) ili kutafuta tafsiri rahisi ya maneno ya kitaaluma yanayotumiwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Dar es Salaam. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kimeeleza namna kinavyokwama kuendesha harakati za ukombozi dhidi ya watoto na wanawake, kutokana na utegemezi wa fedha za wafadhili...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Mwaka 2015 kipindi cha kampeni na mafuriko ya watanzania waliochoshwa na udhalimu wa chama dola walifikia hatua ya kudeki barabara ili mgombea wa upinzani kwa nafasi ya urais apite ashinde urais...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Enzi hizo watawala wa Kiingereza na Warumi, kiongozi wa dini ndiye alikuwa mkuu wa nchi. Sheria ya kanisa ndiyo ilikuwa sheria ya nchi. Dini rasmi ya nchi ni dini ya mtawala. Msishangae kuona...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Iko wapi kwanza hiyo mitambo inapaswa kuwashwa kwa sasa kwani sasa watu washahamia digital mwanzo waliogopa kwamba wasipozima watu hawatanunua ving'amuzi haya tushanunua Ni wakati wa kuwasha tu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau mimi leo nimejikuta namkumbuka Afande Ernest Mangu ambaye ni IGP Mstaafu, je bado yupo jeshini au ameshapangiwa majukumu mengine ya kiraia, nitafurahi nikijibiwa.
2 Reactions
54 Replies
12K Views
Wadau wote wa ufipa na hapa kwetu Lumumba, na wale wote wasiokuwa na vijiwe, nawasalimu ktk jina la JF! Je JF imekusaidiaje tangu ujiunge?
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi naomba kuwauliza hawa EWURA, Petrol ya nje ni tofauti kabisa na hii inayokuja Tanzania. Hii petrol ya Tanzania mtu unawashia mkaa nyumbani. Lakini Petrol ya Ulaya ina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dreva wa UDART Jerry Machicha anayefanya safari zake Ubungo maji Kariakoo hakika Anafanya kazi kweli kama Dreva wa kuhudumia abiria. Kwanza anajitambulisha kabla ya kuanza safari na kutoa Maelezo...
17 Reactions
33 Replies
3K Views
Hili la kimara serikali iwasaidie
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana nimeangalia kipindi cha Dakika 45 ITV nimesikitishwa sana na Sam Mahela alipokuwa akimhoji Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro. Of course alikuwa na maswali ya msingi mazuri, lakini...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Mgogoro wa ardhi wilayani Loliondo, Kaskazini mwa Tanzania umeendelea kukua baada ya mamlaka za uhifadhi wilayani humo kuendelea kuchoma nyumba za watu wa jamii ya Kimaasai. Viongozi wa kijiji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu Nimefurahishwa na kitendo cha TRA kuamua kuwapunguzia gharama wanaoomba kazi kutokea nje ya Dar kwa kufanyisha interviews kikanda na taasisi nyingine zifanye hivo ili waombaji wa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ubinafisishaji wa Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege (KADCO), umehojiwa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa umegubikwa na utata, hali ambayo baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bondia Floyd Mayweather kutua nchini Tanzania akitokea Ghana atakapokwenda baada ya pambano lake dhidi ya McGregor Agosti 26 mwaka huu. Chanzo: swahili times ===========================...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Serikali imesema kuwa imetumia shilingi Bilioni 85 kupeleka mawasiliano vijijini kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa kuzipatia ruzuku kampuni za simu za mkononi ili kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom