Nahisi kutokana na gharama za uendeshaji, ila pia waangalie hali ilivyokuwa ngumu mtaani, mimi binafsi nilijua watazidi kashusha gharama za vifurushi lakini haijawa hivyo, sasa kwa sisi wapenda...
Straight to the topic:
Nimekuwa nikishuhudia kwa muda mrefu jinsi wafugaji wanavyoveka alama mifugo yao kwa kuwachoma kwa kutumia vyuma vya moto, wenyewe wanaita chapa. Kama nakumbuka vizuri, kuna...
Askari wa kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kagera, Mussa Msanya aliyetoweka nyumbani kwake na kupotea katika mazingira ya kutatanisha siku tatu zilizopita, mwili wake...
Dar es Salaam. Manispaa ya Kinondoni, imesema mradi wa ujenzi wa kiwanda cha mbolea kitakachotumia malighafi ya taka unatarajiwa kuanza Septemba baada ya utaratibu kukamilika.
Mradi huo...
Quote (Nyumba zaidi ya 180 zimeuzwa kutokana na wakopaji kushindwa kulipa madeni bank kutoka jan 17 mpaka sasa. Sheria itatungwa, madalali wasajiliwe na walipe kodi. Haiwezekani dalali auze...
Za mchana wakuu?Mm nipo salama salmini.
Nimeshuhudia mara kadhaa magari ya viongozi wakuu wa Serikali mfano Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Kiongozi, Mwanasheria Mkuu, Spika/Naibu...
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha siku ya wahandisi, bidhaa za ubunifu likiwemo gari la kubeba mizigo litakalotumia injini ya pikipiki zitaonyeshwa.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi...
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano sehemu ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga amesema daraja la Kigamboni litaanza kutumika kuanzia Machi mwaka huu.
Akizungumza mara baada ya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa wanaofanya kazi kinyume na maadili.
Akiongea na mwandishi wa habari hii leo Jijini Dar es salaam...
Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump...
Wakati Tanzania ikiwa nchi ya pili kwa wingi wa mifugo barani Afrika mchango wa sekta ya maziwa kwenye pato la taifa ni asilimia 2.5 tu huku takwimu zikionyesha endapo uzalishaji wa bidhaa hiyo...
Shirika la Posta Tanzania limekusanya madeni ya muda mrefu Sh. bilioni 7 na milioni 600.
Imeelezwa kuwa madeni hayo ni kutoka katika taasisi mbalimbali za serikali, mashirika ya umma pamoja na...
Shirika moja la kutetea wanyama nchini Kenya limesema bei ya Punda imepanda maradufu nchini humo kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya nyama ya mnyama huyo nchini China taifa ambalo hununua kwa...
Mkuu wa Tehama na Uendeshaji Bw. George Wandwalo akibonyeza kitufe kuashiria kuanza kwa droo iliyomuibua mshindi wa kiwanja Bi. Dora Olotu katika droo iliyochezeshwa leo jijini Dar es Salaam...
Hii imetokea huko kwenye wilaya wakati raia huyo anahojiwa na DC mbele ya polisi DC akamchapa kibao raia mwema
Je, kwanini polisi wasimkamate DC palepale kwakuwa ameshambulia?
Mtanzania Amancio Gomes mwenye umri wa miaka 20 ni na mwanafunzi alieye bobea katika urushaji wa ndege huko Afrika ya kusini katika chuo maarufu kijulikanacho kwa jina la Africa college of Aviation.
Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda
Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen
Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana
Shaka Ssali mtangazaji gwiji wa "Voice of America" yuko Dar Es Salaam hivi sasa akijiandaa kwa matangazo maalum ya #StraightTalkAfrica. Matangazo hayo yatakujia moja kwa moja kutoka studio za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.