Hapa tupeane uliyowahi yaona wewe kwa ushuhuda wako nitaanza mimi kama ifuatavyo;
1.Mkoani Iringa kuna eneo linaitwa kisima cha bibi kipo mlima wenye kona kumi na mbili kuingia Iringa njini eneo...
Habari wadau. Naomba tupeane uzoefu juu ya mambo muhimu ya kuzingatia unapoalikwa kuwa Mgeni rasmi. Ndugu yangu yamemkuta haya na siku yenyewe bado kidogo. Msaada wadau!!!
Namtafuta best yangu ,wadepo wangu Halima Ali Lyau
Tukikutana JKT 838 op Kikwete 2015 kwa mujibu wa sheria.
Yeye alimaliza tusiime na akachaguliwa St. Joseph kama unaona post hii njoo pm...
Kama mtakumbuka kile kipindi cha MALENGA wetu huyu mzee alikuwa hana mfano kwa kutoa narratives za kiswahili
sina la kusema zaidi ya Inna Lillah wa Inna Illahi Rajuun.Duh ninayo CD yenye nyimbo...
Ukijua fika kuwa unataka Kuchangia huu uzi tafadhali nakuomba sana hakikisha Ubongo wako na Fikra zako zipo vizuri kwani nahitaji mno tafakuri tunduizi ( critical thinking ) hasa juu ya haya...
Muda mchache tu uliopita na nadhani mliopo ' Twitter ' hii taarifa tayari mnayo ambapo Shirika moja la Utafiti wa matumizi ya Mmea ' pendwa ' wa Bangi / Bange duniani limetoa orodha yake ya nchi '...
Nimefuatilia michango iliyochangwa kwa Lissu ni kidogo sana, lakini mambo mengine ya starehe wabongo wanashobokea kuliko mambo ya msingi.
Jamani Lissu ni wa pekee katika afrika yetu, kile kichwa...
Home Gym Mwenge yafikisha miaka 19 kwa kishindo. Weekend iliyopita ilishuhudia Home Gym Mwenge moja ya Gym maarufu ya mazoezi ya viungo jijini Dar es salaam ikitimiza miaka 19 yangu ianzishwe...
Sijui ni kazi ya al-badri imekuwa kali sana!!
Maana kila siku tunashuhudia matamko ya ajabu ajabu tu. Na kama hali hii ikiendelea, nina wasiwasi tutaambiwa watumiaji wote wa social media lazima...
Dunia ina mengi yanafanyika,na kila jambo linasauti au mlio wa kipekee tofauti na mwingine
Yaani kuna sauti ya Gari, sauti za muziki, sauti zitokazo viwandani na shughuli nyingine za mwanadamu...
Nilidokezwa niandae vipindi vya video kama producer. Actually vifaa vya production ninavyo na nina camera man na editor.
Maisha yamekuwa magumu nafanya video za maharusi nk lakini it take so...
Police wanatumia maneno ambayo wanalinda udhaifu wao unakuta police eti mazoezi ni kukimbia km1 asubuhi halafu wako wengi. Watu mpaka wanacheka kwa nini wasijifunze forensic science waweze...
a wilayani Ikungi.
Baadhi ya wananchi wilayani Ikungi wameanza rasmi kampeni ya kuwasaka na kuwachukulia hatua ya kumfikisha katika vyombo vya sheria dhidi ya mzazi au mlezi atakayebainika...
Shuleni tulijifunza kiingereza nafikiri wengi wetu tunajua.
PAST>PRESENT>FUTURE
Hii ni safari ya maisha yetu ya siku zote
PAST - huwa ni mzigo wa vitu visivyo na maana ukiubeba utakuelemea sana...
Naomba anaefahamu namna ya kulipa/kurejesha hela unayodaiwa na bodi ya mkopo kwa kutumia M pesa au Online maana natafuta sioni...!nataka niwe napunguza deni [emoji41]
Nimethibitisha hili wakati wa mahudhurio ya kozi fupi ya forex. Makini kwa mwonekano na hata kwa hoja. Hili jukwaa lidumu. Ni jukwaa lenye vyanzo vingi vya fursa kama ukiamua kweli kuzifuatilia na...
Kwa kuwa hujajua wewe ni nani, hujajua uwezo wako, hujui zaidi ya ulimwengu wa huu, hujui kwanini unaishi, hujui unataka nini, hutumii uwezo wako wa kiroho, umeacha shamba lako kuwa "shamba la...
KUSOMA NI KUISHI
Maisha ya kila binadamu yeyote yanategemea na namna siku yake inavyoisha. Mwanafunzi wa Tanzania anahitaji takribani miaka 23 hadi 28 ya kukaa darasani ili kuweza kuhitimu masomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.