Watu wenye chuki tamaa, masengenyo , uongo , magomvi , wanaolia kuwa maisha yamebana niligundua ni Mashuhuri sana wa kupoteza muda na bila kujua wanaupotezaje huo Muda
Unaweza kukuta kijana ana...
Kuna wanasayansi wameprove asilimia kubwa ya Maji , ukiyasemea vibaya yanabadilika na kuwa kama ulivyosema
( kwa utaratibu wanaoujua lakini kumbuka kama wewe unajua laws of attraction hili...
kitabu kizuri cha Mtaalam , food psychologist brian wansink . kitabu hiki kwa ufupi kinaelezea saikolojia ya chakula na mazingira, nini, wapi, kiasi gani, na wakati gani watu wanakula sana au...
Maisha ni safari moja ndefu yenye kila aina ya changamoto ambazo mwanadamu anakabiliana nazo.
Barabara ya maisha imejaa kila aina ya vikwazo ambavyo mtu anatakiwa avivuke ili kuelekea kwenye...
Kama unaweka mambo hasi akilini mwako ni sawa na hesabu hasi ni kutoa kwa hiyo hata maamuzi utakayoyafanya yatakutoa nje na mwelekeo mzuri wa maisha yako.
Ukiweka vitu chanya kimahesabu ni...
Salamu kwako Afande [emoji113].
Napenda kuchukua fursa kukuomba uweze kuwasiliana na Wakuu wa Vituo vya Kambi mbalimbali za Mafunzo ya JKT Kwa Mujibu ili wawaruhusu vijana warudi majumbani...
Ukiwa chuo unakutana vikwazo vizito vya kufelishwa na wahadhiri wenye roho za korosho mpaka utajuta
Kupewa mikopo ya elimu ni nasibu tu na utawekewa vikwazo vizito usifanikiwe
Ukibahatika...
Nilikuja kutathmini na kwa kupenda kwangu kusoma vitabu listening to audio books , CD mbalimbali za watumishi wa Mungu , semina mbalimbali online nk na kuwa na marafiki na mentors wangu kama mark...
Mtu mmoja amefariki na wengine zaidi ya 60 kunusurika kifo katika ajali ya basi la Allys Sports iliyotokea katika eneo la mji mdogo wa Maganzo nje kidogo ya mji wa Shinyanga barabara ya kwenda...
Maafisa forodha kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoani Tanga wamefanikiwa kukamata shehena ya mafuta ya kupikia kutoka nchini Malaysia yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 47.3...
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ni bora ungejitokeza utuambie sisi wastaafu ni kitu gani kinaendelea hapa Ilala Post Office wakati tunapokwenda chukua pension zetu.
Wastaafu wenye kuchukulia pension zao...
Kuna video nimeiona (nimeiambatanisha hapa) inaonesha wamaasai wale wanaoishi kule mbugani wakitumia njia moja ya ajabu sana kupata kitoweo. Yaani jamaa wanasubiri simba wawinde na kuua mnyama...
Habari wana Jamvi,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua mambo ya nyota.
Nina rafiki yangu ameanza kusali kanisa fulani maarufu hapa mjini, alipoenda kanisani mchungaji akamuombea akamwambia kuna...
Maduka yote yanaozunguka uwanja wa Sh. Amri Abeid yamefunguliwa kusachiwa na mbwa halafu yatafungwa.
Hivyo hakuna biashara leo na kesho kupisha utoaji wa nishani kwa wajeda.
Sasa sijajua...
Kibaha. Wakati ulaji wa nyama unaoshauriwa kwa mwaka na Shirika la Afya duniani (WHO) ukiwa kilo 50, kiwango cha ulaji wa kitoweo hicho hapa nchini kwa mwaka 2015/16 kilikuwa kilo 15 kwa kila mtu...
Kuna kaka ambae ana miaka 37 na amebahatika kupata watoto 6 ambao wa2 hawajui hata walipo na hao wa4 wapo kwa mama zao na kila mmoja na mama yake. Ameniomba ushauli nikaona ngoja nije nishee na...
Shalom,
Wangapi nyumbani mwetu tuna masanduku ya huduma ya kwanza? Pamoja na maombi ni vizuri tukawa na tabia ya kuwa na visanduku vya huduma ya kwanza (first aid kit) majumbani mwetu hasa pale...
Kijana aliyeuawa na polisi kwa kuhusika na utekaji watoto mkoani Arusha, S.Petro bado hajazikwa, muhudumu wa mochwari hopitali ya mkoa Arusha asema huku akidai ndugu zake wameususia huku baafhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.