Home gym wafikisha miaka 19kwa kishindo, wawaasa wakazi wa Dar es Salaam kufanya mazoezi

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83


Home Gym Mwenge yafikisha miaka 19 kwa kishindo. Weekend iliyopita ilishuhudia Home Gym Mwenge moja ya Gym maarufu ya mazoezi ya viungo jijini Dar es salaam ikitimiza miaka 19 yangu ianzishwe.





Sherehe hizo zilifanyika kwenye viwanja vya Shule ya wanasheria jijini na kuhudhuriwa na Mamia ya watu. Akiongea wakati wa sherehe hizo mwanzilishi na mmiliki wa Gym hiyo Andrew Mango alishukuru wanachama wa Gym hiyo na Wadhamini.



Pia aliwataka wakazi wa Dar es salaam kupenda kufanya mazoezi ili kujenga afya bora.

 
Sikuizi gym kuna mengi mazuri kuliko ya kijiweni
 
Hongera kwao!,...nafanya michakato nianzishe GYM yangu ya kimtindo home!, siku nikiboreka kukimbia road...nakimbiza kihom hom..
Inaweza gharimu kiasi wajuzi?..kwa vifaa vichache tu muhimu?..
 
mango mqngo ni mzuri sanq. huwa nafuatilia itv saa 11;00 alfajiri. ila hawana website na sijampata kwenye facebook au google andrew mango
 
Back
Top Bottom