Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Nimethibitisha hili wakati wa mahudhurio ya kozi fupi ya forex. Makini kwa mwonekano na hata kwa hoja. Hili jukwaa lidumu. Ni jukwaa lenye vyanzo vingi vya fursa kama ukiamua kweli kuzifuatilia na kuitumia. Kwa mara nyingine tena natoa heko kwa waanzilishi wa jukwaa, moderators pamoja na aliyesababisha uzi huu, ndugu Ontario
Updates:
Tumemaliza kozi na hakika Mungu ashukuriwe pamoja na wote waliohusika kwenye kuileta forex Tanzania wakiongozwa na ONTARIO. God bless you Brother
Updates:
Tumemaliza kozi na hakika Mungu ashukuriwe pamoja na wote waliohusika kwenye kuileta forex Tanzania wakiongozwa na ONTARIO. God bless you Brother