Mambo muhimu ya kuzingatia unapoalikwa sehemu kuwa Mgeni rasmi.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari wadau. Naomba tupeane uzoefu juu ya mambo muhimu ya kuzingatia unapoalikwa kuwa Mgeni rasmi. Ndugu yangu yamemkuta haya na siku yenyewe bado kidogo. Msaada wadau!!!
 
Nimekuwa mgeni rasmi mara 2 mahafali ya shule za sekondari,subiri pakuche.
Ila useme sasa ugeni rasmi wa wapi
 
Habari wadau. Naomba tupeane uzoefu juu ya mambo muhimu ya kuzingatia unapoalikwa kuwa Mgeni rasmi. Ndugu yangu yamemkuta haya na siku yenyewe bado kidogo. Msaada wadau!!!
Panga kwa usahihi ya kuongea ikibidi pata dondoo kwanza kwa wenyeji usije kuishia kuropoka na kupayuka.. Utaonekana kituko
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom