Namna ya kulipa mkopo HESLB

Namna ya kulipa mkopo HESLB

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
498
Reaction score
787
Naomba anaefahamu namna ya kulipa/kurejesha hela unayodaiwa na bodi ya mkopo kwa kutumia M pesa au Online maana natafuta sioni...!nataka niwe napunguza deni [emoji41]
 
Pitia website ya ""loan board"" ya mikopo elimu ya juuTanzania
Heslb.go.tz
 
Back
Top Bottom