past , present , future safari ya maisha

past , present , future safari ya maisha

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,100
Shuleni tulijifunza kiingereza nafikiri wengi wetu tunajua.

PAST>PRESENT>FUTURE
Hii ni safari ya maisha yetu ya siku zote

PAST - huwa ni mzigo wa vitu visivyo na maana ukiubeba utakuelemea sana bila faida.

PRESENT- huwa ni hali ya kutokuwa huna mzigo ni wewe kama wewe na kama umekataa past ndiyo present itakuwa nzuri .

FUTURE- Nguvu uliyonayo present ndiyo unatakiwa uende nayo future sasa kama utaendelea kuibeba mizigo ya past ukaja nayo present nakwambia future utakuwa huna nguvu .

Kuna maelezo ambayo watu wameyapokea huko nyuma na ni mazuri kweli , lakini hayakupaswa kusikilizwa.

Una marafiki , tabia, ulikuwa nazo huko nyuma sasa hukupaswa kuwa nazo sasa ili uingie future

Be inspired
 
Kama ungekuwa unajua asili wa uwepo "the nature of existence", usingefikiri past/present/future ni vitu vitatu tofauti na kwamba unapawa kusahau past yako. Wewe ukisahaulishwa yote unayoyajua utakuwa "tabulazara" yaani asiye na chochote kichwani. Yaliyopita ndiyo yaliyokuleta hapa ulipo na ndiyo yatakayokupeleka kule uendako.
 
Back
Top Bottom