jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Nimefuatilia michango iliyochangwa kwa Lissu ni kidogo sana, lakini mambo mengine ya starehe wabongo wanashobokea kuliko mambo ya msingi.
Jamani Lissu ni wa pekee katika afrika yetu, kile kichwa ni cha hatari sana ndo maana Mungu kakinusuru tujitahidi kuchanga ili tumuhaibishe shetani kwelikweli