Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Stadi za kazi ni somo linamuandaa mtoto kueza kufanya shughuli mbalimbali za kujitegemea. Mfano kilimo, ufugaji, ufumaji, kuoka mkate na kazi nyingi za mikono Hili somo likiboreshwa linaeza futa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kasumba iliyopo kwa baadhi ya watu hasa viongozi kutumia maneno "mwananchi wa kawaida" imepelekea kuzalisha mitazamo isiyo mizuri na imetengeneza mianya kwa baadhi ya wanasiasa na wachumia matumbo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua ujumbe utawafikia tu. Narudia tena, sitaki mniunge kwenye huduma zenu bila ridhaa yangu. Mmenitibua sana leo, nataka kuzungumza na mtu, eti "Salio halitoshi, au bonyeza moja nikope Salio!"...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi nashida ya kupata mtaalam wa dawa atakayeweza kukusaidia kupata begi langu lilikua na vitu vyangu Vya msingi ambalo aliliazima Rafiki yangu akidai atalirudisha baada ya dk kumi Tu lakin mpaka...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
"Nawapeni Amri mpya Pendaneni kama mimi ninavyowapenda"Nimeanza na maneno matakatifu yanayohimiza Upendo kwa wote tupendane wote bila kujali rangi zetu,dini zetu,makabila yetu,vyama vyetu vya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello guys i admired these people a lot respects to them, it is never to late to live your dream 1. katika umri wa miaka 41 christopher columbus alivumbua marekani 2. katika umri wa miaka 44...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Je watu wa Africa ( black people) tumekuwepo dunian (on earth) karne nyingi zilizo pita au laa Mana najiuliza ni Kwa nini population ya bara letu limekua ikipungua ukichukua record ukiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu siku hizi hawamuogopi Mungu. Kumuogopa Mungu kumepotea. Watu wamevimbiwa vyeo maofisini, kazi kuagiza jeshi la wananchi, polisi kutesa watu, kupoteza watu na kuua watu. Kula rambi rambi za...
5 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa nini nasema hivi, chadema siku zote wanawaombea wengine mabaya, juzi kati hapa watu wa CUF wanatoka Dodoma wamepata ajali na kufariki JF ilijaa kejeli na furaha kwamba Mungu amesikia kilio...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF. Njaua tunapishana Imani ila miracles zipo. Kwa ushuhuda mwingi ambao nimekuwa nikiushuhudia ambapo Mungu wetu wote amekuwa akiwaponya watu ambao wamekutana na hila za shetani kama...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
News 'Women have quarter of a brain’, Saudi cleric claims A Saudi cleric has been slated for saying that women don’t deserve to drive because they only have a quarter of a brain. Sheikh Saad...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natamani kujua mchochezi kwenye nchi yangu ni mtu wa aina gani. Wakiongea wengine ni wachochezi ila akisema yeye tusiwasikilize hao ila tumuunge yeye tu mkono hiyo sio mchochezi. Mtu mwingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mandela aliwahi kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Gaddafi, Yaseer Arafat na Fidel Castro akajibu kuwa wale ni marafiki zake ni watu waliowasaidia wakati wa shida sana na akasema wasilazimishe...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Barabara ya Morogoro road ukweli ilijaa vibanda vibanda vya kiswazi na takataka nyingi! Kwa mgeni anapoingia Dar kuanzia Kibaha anakutana na uchafu mtupu barabarani! Bendera za chama zilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wakuu. Hapo kama kichwa cha habari kilivyo, Naomba tutaje bei za bidhaa mbali mbali ziliuzwaje kipindi anaingia na sasa bei ikoje ili ajue karahisisha maisha au yamekua magumu. 1. Sukari kilo...
6 Reactions
64 Replies
10K Views
Huu utitiri wa watu unaoonekana kwenye Usahili,simply unaongezeka kutokana na watu wenye rohoo mbaya ya kutoridhika,yeye kila siku utamkuta anatafuta kazi as if ndio kipaji alichozaliwa nacho...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni mfanya biashara nina maduka mawili,duka moja nakaa mimi duka jingine nimeajiri mtu ambaye anakuwa anauza na kuniletea hesabu kila siku,nafanya hesabu kila baada ya miezi miwili,tatizo ni...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amempa mkurugenzi wa manispaa ya Tabora John Bosco amepewa muda wa wiki moja kumsaka mkandarasi aliyejenga choo cha shule ya sekondari Mirambo chini ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu watanzania wenzangu! Napenda tujuzane waanzilishi wa vitu mbalimbali hapa nchini kwetu. Kwa kuanza,tujuzane wabunifu wa haya yafuatayo: 1. Wimbo wa taifa 2. Wimbo wa Tazama ramani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Babu yangu aliwahi kunisimulia jinsi maisha yalivokuwa magumu miaka hiyo ya 80 baada ya vita ya Kagera wakati huo niko mdogo sana sijui hile wala lile alinisimulia jinsi ajira zilivokuwa finyu...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom