Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumbuka tukisema billionea huwa tuna refer net worth ya mtu in terms of US dollars. Hivyo ili mtu awe billionea, maana yake ni kuwa awe na net worth ya walau trillioni 2.25 za kitanzania. (ambayo...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
DAR YA PILI KWA WATU WAOGA ZAIDI AFRIKA. Mtandao wa citypages.com umelitaja jiji la Dar es Salaam kama jiji la pili kwa watu waoga zaidi Afrika (Cities with the most coward people in Africa)...
11 Reactions
106 Replies
12K Views
Mkurugenzi wa TPA Deusdedith Kakoko ameiomba serikali kuipatia mamlaka hiyo vifaa vya kupambana na wizi wa mafuta bahari ya Hindi. Mkurugenzi huyo alimuelezea waziri wa fedha PhilipMpango...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watoto watatu wamepoteza maisha baada ya chumba walichokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo lilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia jana katika eneo la Yombo Dovya wilayani Temeke...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu si tupo? mtakuja sikia jamaa watakavyoruka futi kadhaa, katengeneza huo ushaudi na sii kweli na hakuna hatua yeyote itakayochukuliwa kwa wachoma shule wala watoa na wapokea rushwa arusha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mumeninyang'anya kiwanja changu, Mumeninyang'anya ng'ombe wangu, kama Mushampiga risasi Tundu Lissu na sie tumalizeni tu. Nchi hii ina haki, inasheria gani?"
8 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwako, Mh. Makonda [mkuu wa mkoa-Dar] kwa heshima kubwa tunatambua juhudi zako katika kuleta maendeleo katika mkoa wa Dar. Tunatambua kuwa unataka kuacha 'remarkable legacy' katika kipindi chako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini kwamba umeshapata picha na video za mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VODACOM mwenye cheo kinachoonekana ni kikubwa ambapo mke wake amefumaniwa akiwa uchi wa uchi kama alivyozaliwa huku...
20 Reactions
183 Replies
20K Views
ATM Choo na huduma ndogo ndogo muhimu ziwekwe nazo. nyie vipi bwana mnaachaje hela ya nje nje, pili mnakuwa mmetoa huduma na kupunguza usumbufu? au mnasemaje wadau
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu, pamezuka sasa utamaduni wa taasisi mpaka za umma kujipangia taratibu nje ya zile za serikali kiutawala, mfano kiserikali Ilala, Kinondoni, Temeke n.k. ni wilaya kwa hapa Dar es Salaam. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Neo-colonialism: How Africans underdevelop Africa FLORENCE MUGARULA 24 SEPTEMBER 2017 The book was published in 1972 portraying how European capitalists exploited Africa. He argued that Africa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa yangu mwenye simu ya airtyel 078... simu yake tarehe 16/8/2016 iliingiliwa na wahalifu wakitumia particulars za usajili walizozipata kwa njia ya kihalifu. Wakaitumia simu hiyo kwa uhalifu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Kama kuna mtu ashawahi kutumia dishi kati ya hizo hapo juu kwa receiver ya fta naomba aniambie kuwa inakamata channel ngapi maana kuna watu wanadai hayo ni madogo sana na hayafai kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wananchi wamepongeza utaratibu huu mpya kwa madai utasaidia kubaini wahalifu pindi wanapofuatiliwa. Pia utakuwa ni utambulisho wa uhakika kwa wakazi ktk kila nyumba Source ITV habari za saa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali ya kuwakatisha tamaa watumishi wa Umma waliochoka kusikia Matamshi bila vitendo, Leo tena ameibuka Mh. Angellah Kairuki bungeni alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Susan...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Nimegundua nchi ya watu Wa amani wanaweza kuongozwa na mwanangu ,,,maana anaakili kubwa sana na vipimo vimefanyika ,,,vipimo au kipimo hicho ni hiki,,,mwanangu Jana na Leo nilitoka kwenda...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Imeelezwa tangu tanzania ilipojitoa rasmi katika jumuiya za nchi wafanyabiashara kusini mwa bara la Afrika(COMMESA)imepelekea kuyumba kwa soko la zao la Tumbaku baada ya wanunuzi wa zao hilo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nipo Zanzibar, ila wadogo zangu wanataka kunitembelea na wapo chini ya miaka 18 hawana vitambulisho vya kupiga kura bara na hawana passport. Nitafanyaje wanitembelee? Process iwe ndani ya...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Mfanyabiashara wa Moshi, Reginald Hosea anachunguzwa na Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Habari za uhakika zinadai Hosea ambaye pia ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom