Jinsi unavyohitaji mafanikio ndivyo hata Mungu anavyohitaji wewe ufanikiwe , lakini kuna vitu ambavyo vinazuia wewe usifanikiwe , furaha ya Mungu ni kuona wanawe wanasonga mbele.
Watu wengi...
Mkuranga.
Licha ya Serikali kuweka mkazo kwenye elimu kwa kuanzisha sera ya elimu bure ili watoto wote wapate fursa ya kupata elimu lengo hilo linaweza lisitimie mkoani Pwani kutokana na wakazi...
Watanzania hali inazidi kuwa mbaya, polisi wanaua kila kona, njia ya Airport wamejaa kama utitiri wanakusanya mapato. Hali ni mbaya unatoka ndani ya airport wanakudaka, yaani magari ni mengi, watu...
Jana usiku kuna mshirika wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ubungo, alianguka na kupoteza Maisha wakati akifanyiwa Maombi!
Cha kushangaza waumini na wachungaji wa kanisa hilo waliamua kuitekeleza Maiti...
Parkinson's Law
Na: Kaliro X
24sept 2017
I bet mara nyingi unakutana na haka kahali, umepewa kazi ndogo tuu ya kawaida ambayo ungeweza kuimaliza ndani ya masaa kadhaa au hata ndan ya lisaa...
Kwa mujibu wa taarifa zake binafsi katika facebook,huyu mtu ni kada wa CCM, mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii ,alisomea Mpwapwa high school na ni graduate wa UDOM.Pia aliwahi...
wakuu hii kitu imekaaje? ni nani huyu mwenye roho nzuri hivi anagawaga hii mipira?
ni serikali au?
And what is tha meaning of serikali kugawa mipira kama ndo hiyo inagawaga?
Na asubuhi utakuta...
Wana JF,
Kwa wale ambao wameoa, na wale ambao wana mama zao wanao ishi maeneo ambayo kuna tatizo la maji kwa maana yakwamba hakuna maji ya Dawasco au maji ya Dawasco yanatoka kwa nadra sana...
Niende kwenye hoja Moja kwa Moja,
Kumekuwa na changamoto sana katika kazi na nyingi hazihusiani na kazi yenyewe.
Katika kila sehemu niliyowahi kufanya kazi nimeona ndio tatizo na hata kupelekea...
Na.Ahmad Mmow, Lindi
SERIKALI imeombwa kufualitia utezalezaji wa maagizo yake kuhusu makundi yenye mahitaji maalumu ili yatekelezwe kikamilifu na halmshauri nchini.
Wito huo umetolewa leo na...
Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa wanajihususha na kuwateka waendesha bodaboda Mkoani Tabora wameuawa na wananchi wenye hasira baada ya mwendesha pikipiki kupiga kelele akiomba msaada alipokuwa...
Katika jamii yeyote kiongozi bora ni yule anayewapa watu wake matumaini mapya, kuwa tiba ya shida zao na suluhisho la hatima zao na popote alipo utokea amani na si machafuko.
Katika Hali isiyo ya...
Wandugu kuna kitu kinanichanganya sana,
Ni lile tangazo la Maji ya Uhai ambapo linaonesha chupa tepetepe imefunikwa na kujinyonganyonga hatimaye ikaimarika,
Hivi ina maanisha nini pale??
wakuu mi natoa tu taadhari maana najua penye wengi kama hapa jukwaani pana mengi.
mtu asijidanganye ataua, atampiga mtu risasi na akimbie bila kujulikana.
weeee, usijulikane.
Tanzania ina maspy...
Kenya has imposed a steeper inspection fee on Tanzanian wheat imports, threatening to escalate the trade war between the two neighbours.
The government has increased the cost of wheat inspection...
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Festo Kiswaga ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwaweka rumande wajumbe watano wa Kamati ya Ujenzi ya Shule ya Msingi Bariadi, baada ya kudaiwa kutumia vibaya...
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga leo imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu sita baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya ndugu yao mmoja.
Chanzo: Mwananchi
Mchakato wa kubomoa ghorofa hili unaendelea muda huu huku ulinzi ukiwa umehimarishwa vilivyo
==================
Mwenye Ghorofa anaitwa Madaraka na wala si Madaraka Nyerere
Ila kiukweli Ghorofa...
Waziri wa habari, utamaduni, wasanii na michezo Nape Nnauye amesema kuwa wakati anakuwa ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuwa rubani wa ndege za kivita.
Akiongea kwenye 255 XXL ya Clouds FM, Nape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.