Nilifanya utafiti , kwa nini watu wanashindwa kwa kusoma vitabu mbali mbali nikabaini kitu.
Nikisikia mtu anasema "sijui" "siwezi ", huwa sipendezewi sana na hasa kama hayupo Tayari kujua na...
Wakati namalizia kusoma demonology na christology nilibaini hivi vitu na nimeviweka katika kitabu changu kwa kirefu.
Nilibaini katika research zangu kuwa Kiroho shetani huwa analeta HOFU , Mungu...
Always ninaamini katika hili kuwa nikiweza kusoma vitabu vyote duniani , basi ninaweza kutatua Matatizo yote duniani .
Lakini kwa kuwa sina matatizo yote inabidi nichague vitabu vya kusoma...
Habari wana jamvi,
Kama kichwa kisemavyo,
Huu ukuta wa Mererani ulioagizwa na Mh Magufuli umezua utata kwa namna ulivyopokelewa hasa na washikadau wa shughuli husika za madini.
Kwanza...
TANZANIA inakaribia kufanya kilichofanywa na Ethiopia mwaka 2015 kwa kuipiku Kenya katika orodha ya nchi zinazoongoza kwa kiwango cha ukuaji uchumi miongoni mwa nchi za eneo la Afrika ya...
Nafikiri wote tunaweza kujadili utendaji wa IGp aliyepita Said Mwema na huyu wa sasa IGP Mangu, je ni nani anaweza kupigiwa mfano wa utendaji wa kujali taaluma ya polisi, kutatua shida za wananchi...
Habari za Leo wanajukwaa, kama heading inavyosema, natamani kupata highlights za maisha katika mji wa Same mkoani Kilimanjaro. Nimepata uhamisho kwenda Same, so naomba kujuzwa hali ya maisha hapo...
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa. Imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira.
Huu mwisho wa mwezi unakutana na noti mbofumbofu...
Shughuli ya kupiga picha Bwana na Bibi harusi iligeuka ghafla wakati bwana harusi aliporuka na kuingia mtoni kumuokoa mvuana mdogo aliyekuwa anazama.
Clayton na Brittany Cook walikuwa wanapiga...
Salaam wakuu.
Tanzania njaaa kali sana.Mnooo.
Kwa wale ambao wamewahi kusafiri kutoka Dsm kwenda mikoani kwa kutumia usafiri wa mabasi kupitia stand ya Mbezi.Kuna mchungaji anaitwa Komandoo huwa...
Kwa kweli nchi hii inaburuzwa tu yaani hata mambo madogo yamefanywa kuwa maguuumu utafikiri kwenda Juani.
Wanachotaka na furaha yao ni kutesa watu bila sababu, wamefanya nchi kama yao wakitoa...
By Pascal Mayalla.
Meneja Mkuu Masoko, wa kampuni ya LG Electronics, Tawi la Afrika Mashariki, Moses Marji (kulia) na Ofisa wa LG, Mohamed Ibrahim, wakimvisha sare mpya ya shule, mwanafunzi, Issa...
SUMBAWANGA: Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa imewahukumu adhabu ya kifo watu sita ambao ni ndugu wakazi wa Kalambo baada ya kupatikana hatia ya kumuua ndugu yao.
Ndugu hao wamedaiwa...
Za Jioni Wakuu,, Naona Tunaotumia Internet Tumeanza Kupewa Ahueni Maana Voda Na Halotel Wamezindua Vifurushi Vipya Vya Mb Na Dakika Na Kwa Jinsi Nilivosikia Cha Halotel Kipo Poa Sana Ingawa Kwa...
Wana JF
Tuna hali flani hivi kama kusahau hivi haswa wale ambao wana kazi zao na kipato kizuri tu, hapa tulipofikia ni pazuri tukumbuke bila shule hizo za msingi na waalimu waliotufundisha lazima...
Kiwanda cha Multi Cable Limited kilichopo Kijereshi, kata ya Ihoma jijini Mwanza kinaungua moto muda huu harakati za kuzima ndo zinaendelea chanzo cha moto hakijajulikana.
===========...
Wakuu hii imekaaje, eti polisi wako tayari kumlinda Dr Ulimboka. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya polisi kwani ndio watuhumiwa wakuu wa yote yaliyomkuta huyu daktari.
Tahadhari: Dr kama hana...
Wakuu, husikeni kichwa cha thread hii hapo juu. Naomba mnitajie vifaa wanavyotumia hawa magwiji wawili katika vibonzo vyao. Mkinitajia na bei zake ntashukuru sana.
Naomba kuwathilisha
Habari zenu wana jf,
Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu, maana humu kuna watu wa rika tofauti na jinsia tofauti. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa...
mara ya kwanza nilipoliona tatizo hili, sikuliona kwa mapana sana kwakuwa nilikuwa naamini waliofanya hivyo toka mwanzo walijua risk wanayochukua na niliamini walijipanga jinsi ya kukabiliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.