Bomu linadaiwa kulipuka eneo la Lolkseki Arusha na kuua watoto waliokuwa wakichunga ng'ombe eneo ambalo Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) hufanyia mazoezi. (To be verified)
Picha ni nyingi ila...
Wananchi wa kijiji cha Tamota kilichopo wilayani Kilindi mkoani Tanga wamekosa huduma ya afya tangu kupatikana kwa uhuru hali iliosababisha baadhi ya akina mama wajawazito kupoteza maisha...
Serikali imeanza kukusanya mabaki ya kumbukumbu za binadamu zana na wanyama wakale yaliyopo katika maeneo mbalimbali na kuyarudisha kwenye makumbusho ya kale ya Olduvai Gorge ili kumbukumbu hizo...
The paradox of plenty is a reality for many African countries. There's an abundance of natural resources such as oil, gas and minerals, but there hasn't been much economic growth and development...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na Mgombea Mwenza wa urais 2015, Juma Duni Haji tayari wamefika Hospitali Nairobi nchini Kenya kumuona Mbunge wa Singida...
Mkemia mkuu Prof Manyele amesema ofisi yake hutumia sampuli zilizo nje ya mwili wa binadamu na si kwa kutoboa au kuchana mwili.
Hivyo mkojo hutumika kutambua reaction za sumu mbalimbali kutoka...
.
Wananchi wa kijiji cha Tamota kilichopo wilayani Kilindi mkoani Tanga wamekosa huduma ya afya tangu kupatikana kwa uhuru hali iliosababisha baadhi ya akina mama wajawazito kupoteza maisha...
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 13 wa darasa la tatu katika shule ya msingi Makutano,kitongoji cha Igole kijiji cha Makutano wilayani Kilombero amelazimika kukatizwa masomo yake kwa kufukuzwa...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amepiga marufuku ubomoaji wa nyumba bila idhini yake.
Pia, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata madalali wa Mahakama wanaotumiwa kubomoa nyumba za wananchi...
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mkoa wa Arusha, linatarajia kuwafikisha mahakamani waajiri sugu wasiotekeleza wajibu wao kisheria wa kuwasilisha michango ya wafanyakazi wao na...
360 Leo nimeona asubuhi mkishadidia na kuchambua uvaaji suti na kuonyesha picha za Seif Maalim,mkikosoa muonekano, hili halina afya sana, kitaaluma, ni kuingilia uhuru binafsi.... Sijui wengine...
Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza jaribio lake la kongeza idadi ya maneno
Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza jaribio lake la kongeza idadi ya maneno ya ujumbe ambayo mtu anaweza...
Serikali ya Tanzania imepata heshima kubwa katika mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) unaoendelea jijini New York Marekani kutokana na kuenea kwa sifa za utendaji wa Serikali ya...
Aisee yaani leo nashangazwa na kipindi pendwa cha Mh Rais kutumia nusu saa nzima eti wanajadili vazi la Maalim Seif la suti kuwa ni kituko na Kuliltea maada.
Sasa tofauti yenu na shilawadu ni...
Shukurani nyingi sana kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, hasa uongozi wa awamu ya nne, kwa ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma; chuo kikubwa A. Mashariki na kati. Chuo hiki kimetusaidia...
Mhe NASSARI MBUNGE WA ARUMERU JIBU LAKO KWA POLEPOLE UNANYESHA UMEGUNDUA KOSA LAKO?
Nimemsikia Polepole akijibu tuhuma za kina Nassari MBUNGE wa Arumeru, nafikili nimemuelewa sana polepole...
Wakati nakua miaka ya 70-80's ilikuwa ni vigumu kwa mganga Dr wa kiume kumsikiliza mgonjwa wa jinsia ya kike mwenye miaka sawa na mamayake!vile vile kwa Nurse's wa kike au wakiume walikuwa ni...
Kesi ya utumiaji wa dawa ya kulevya inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji jana Jumanne iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Daktari Mfawidhi wa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro,amefanya ukaguzi wa ghafla kwenye hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa kwa lengo la kuzungumza na uongozi wa hospitali hiyo ikiwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.