Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro,amefanya ukaguzi wa ghafla kwenye hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa kwa lengo la kuzungumza na uongozi wa hospitali hiyo ikiwa pamoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shule ya msingi Kigongoni iliyoko wilayani Monduli mkoani Arusha inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa choo unaosababisha wanafunzi zaidi ya elfu moja (1,000) kutumia matundu manne...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wanajamii! Kabla ya yote niwape pole ya abiria wenzangu mliounguliwa na gari la tashirif huko Tanga! pili mnapaswa kumshukur mungu kwa kutoka salama! Katika vipindi vingi tumeshuhudia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rushwa inasababisha watu wengi masikini kupoteza haki zao za msingi za kuishi, rushwa inasababisha matabaka ya watu, rushwa inajenga chuki na uonevu mkubwa katika jamii, kibaya zaidi rushwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JPM Kibaha:Hatutafuti Pesa kwa ajili ya posho au semina kama hamkuzipata miaka mingine imekula kwenu.Huu ni muda wa kufanya kazi
2 Reactions
52 Replies
6K Views
1. DAR - ARUSHA *646* KM 2. DAR - KAHAMA *1012* KM 3. DAR - BABATI via moro *876* KM 4. DAR - BARIADI *1127* KM 5. DAR - BUKOBA kahama *1433* KM 6. DAR - DODOMA *450* KM 7. DAR - GEITA *1226* KM...
3 Reactions
2 Replies
8K Views
Wakuu, Neno CB nimekuwa nikilisikia sana kwa askari wetu hasa wa JKT na JWTZ, ningependa kujua maana yake. Msaada please.
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Inaumiza! Mkoa wa Mtwara uliojaliwa gesi, mabomba yakitiririsha gesi kuelekea DAR ES SALAAM huku yakiacha KILIO na uchungu mkubwa kwa wakazi wa Mtwara kwa kukosa umeme. Inavyoonekana tatizo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ishara za mafanikio katika maisha yako ni muda unapoanza kuona kuna ongezeko la wakatisha tamaa kwenye mambo yako Kwa maana hao sio tu wakatisha tamaa bali watu wale ambao wanaumia wanapoona...
12 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar wana jf Naombeni ushaur juu ya masuala yanayoniandama kila kukicha maana naona naelekea kusikojulikana 1.Kwanza kabisa mm sipendi kusikiliza nyimbo za dini 2.Sipendi kwenda Kanisani kabisa...
1 Reactions
90 Replies
7K Views
Basi la Tashriff namba T361, lililokuwa linaelekea dar kutoka tanga, linateketea Kwa moto mudaa huu . Basi lililokuwa linaelekea Dar Es Salaam limeteketea lote kwa moto karibu na mizani Pongwe...
0 Reactions
48 Replies
13K Views
Nipo sehemu natazama mpira, pembeni yangu wamekuja kukaa vijana watatu umri kati ya 25-28 hivi. Kwa kuwasikiliza accent ya ninegundua ni waUganda. Hawa vijana nahisi wanafanyakazi kampuni moja ya...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Utafiti wa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt Hussein Mansour amesema wizara hiyo imeingiza sokoni zaidi ya mbegu sita za viazi lishe ili kupambana na ukosefu wa vitamini A...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa wanajihususha na kuwateka waendesha bodaboda mkoani Tabora wameuawa na wananchi wenye hasira baada ya mwendesha pikipiki kupiga kelele akiomba msaada alipokuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaa naona anamsukuma nyangumi mkubwa aaliyefananishwa na TZ hapo ambaye anaonekana kumzidi nguvu na akiteleza kidogo basi anamuangukia na kumuua, sijui ni nani huyu? Mwinine anasema wampishe...
10 Reactions
66 Replies
8K Views
Serikali imeziagiza hospitali zote nchini kuhakikisha kuwa ifikapo Juni 2018 zinakuwa na jengo maalumu la kutolea huduma ya dharura ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopoteza maisha kwa kukosa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nasoma magazetini na kuangalia kwenye runinga yanayoendelea Uganda sasa hivi kuhusu umri wa Rais, Kenya kuna vuguvugu la uchaguzi na maandamano. Sisi tuko vizuri mpaka sasa hivi. Nimuombe Mh...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Mwanzoni mwa mwaka wa elfu mbili kulikuwa na sijui nimuite tabibu ama shehe huyu alikuwa anapatikana maeneo ya kunduchi nadhani ni mbele kidogo na ilipo kambi ya jeshi alikuwa anatibu kwa dua...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom