neema ya Mungu imejengwa katika mapito ya kukata tamaa

neema ya Mungu imejengwa katika mapito ya kukata tamaa

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,100
Wakati namalizia kusoma demonology na christology nilibaini hivi vitu na nimeviweka katika kitabu changu kwa kirefu.

Nilibaini katika research zangu kuwa Kiroho shetani huwa analeta HOFU , Mungu huwa analeta IMANI

Shetani anataka hofu ndani yako iseme Mungu hawezi , na hapa ndiyo wengi wanaenda kwa waganga wa kienyeji. Wakati Mungu anataka useme kwa IMANI anaweza.

IMANI+HOFU vikikutana kuna kitu kinatengenezwa kinaitwa spiritual warfare( vita vya kiroho). Yaani unataka kusali , kufanya mema lakini kuna kitu kinakuzuia au unafanya tukio kisha unajutia , msigano wa mawazo ndani yako negative thinking na positive thinking.

Ili kujua mtu ana vita vya kiroho utaona anachopenda kuangalia horror movie , masinema ya kutisha kuuana , habari za vifo, matukio anaangalia taarifa ya habari ili apate tukio na kueleza matukio

Katika maisha yetu ya sasa, tunahitaji sana wasikivu na sio wasikiaji, tunahitaji sana kujiamini na kuthubutu kuliko kuogopa.

Tafuta IMANI sahihi ambayo itakuondolea hofu na kutokaribisha mapepo siyo DINI . kiri maneno ya Mungu kutoka katika biblia na kubali yesu kuwa bwana na muokozi wa maisha yako.

Be inspired.
 
Mkuu wewe noma naona leo ni BANDIKA BANDUA YA THREAD TU
 
Mkuu wewe noma naona leo ni BANDIKA BANFUA YA THREAD TU

mkuu watu wanataka post zangu walikuwa facebook , lakini kwa faida ya wengi tumeona tushirikishe na wengine kupitia JF , zingine nahamisha kutoka facebook , maana nina post more than 100. Natunga vitabu pia, lakini kubwa zaidi napenda watu wamshukuru Mungu kwa ufahamu wanaoupata na kufanya maisha yao yawe mepesi.
 
Anhaa basi sawa mkuu hongera..keep it up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom