Je, unataka kuwa mtu smart(special, measurable, realistic timed)?

uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,235
874
Always ninaamini katika hili kuwa nikiweza kusoma vitabu vyote duniani , basi ninaweza kutatua Matatizo yote duniani .

Lakini kwa kuwa sina matatizo yote inabidi nichague vitabu vya kusoma.

Ukitaka kuwa makini kwenye Maisha entertain questions , karibisha Maswali , jiulize sana kwa kutaka kujua , si kwa kutaka kupinga

Kwa wale ambao wanataka kuwa na ubongo mpana , nalenga vijana wangu wanaonifuata on Facebook si wote wanaonifuatilia , nimechagua kwa sasa JF , kama walivyoshauri kuwa kama platform na Media ya mentorship programme. post nyingi zingine nahamishia huku kutoka facebook kuwafikia wengi zaidi

Vitabu vya kusoma ni 6 tu , jiangalie upo wapi katika fani gani na nini ukijua kitakufanya uwe na potential , nakushauri hadithi na sinema za bongo movies/vitabu za maisha ya kusikitisha hazikufikishi popote kama zitachukua nafasi kubwa kwako ,

mfano huu hapa , kwa mimi.

1. Self help books( siwezi kuingia katika jambo jipya bila ya msaada wa vitabu at least 5 au CD )

2. Skill building books( Kama sasa naendelea na Marine logistic kwa sababu soon Nina kazi nayo).

3. Language books(namalizia IELTS( the international English language testing systems).

4. Spiritual books ( hapa ndiyo nimezama sana na ni mtaalam kwelikweli na bado naendelea , on christology, freemasonary nk)

5. History books. ( hapa nasoma kama sehemu ya leisure)

6. Autobiography &biography ( napenda kusoma hivi vitabu wakati nafanya research)

Be inspired
 
Back
Top Bottom