CRDB acheni kuweka noti chakavu kwenye ATM

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
542
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa. Imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira.

Huu mwisho wa mwezi unakutana na noti mbofumbofu utafikiri imetoka kwa muuza mkaa.

Ujinga huu.
 
Hahahaaa...
Haki ya Mungu.

Rais kule anasema 'wapumbaav'
 
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira,huu mwisho wa mwezi unakutana na not mbofumbofu utafikiri imetoka kwa muuza mkaa . Ujinga huu.
Tupiamo kapicha mkuu!!
 
Kumbe zile hela kwenye atm huwa wanaziweka!!!!?,
 
kuchukua bank statement sasa... utaambiwa mtandao unasumbua mpaka utakoma mwenyewe
 
Nilichukua noti siku moja ikabidi niinunue kitu kwa hasara. Kitu cha elf 2 nlinunua 3500 ili noti iende tu
 
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira,huu mwisho wa mwezi unakutana na not mbofumbofu utafikiri imetoka kwa muuza mkaa . Ujinga huu.
Safi 100 m wamempa makonda wanabaki na nini
 
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira,huu mwisho wa mwezi unakutana na not mbofumbofu utafikiri imetoka kwa muuza mkaa . Ujinga huu.
Usizubae sana ATM mkuu, utakula shaba watu wamepagawa saiz....ohooo, beba kipande chako tembea utabambika mbele ya safar
 
Kuna mabandiko ya benki kuu kila benki kwa sasa.

Hili andiko linaelezea haki ya mteja kwa benki husika.

Moja wapo wa hizo haki ni, haki ya mteja kupata noti isiyo chakavu, haki ya mteja kuwapa benki noti iliyochakaa bila shida, haki ya mteja kupata chenchi kwa domination anayotaka bila bugudha.

Sina hakika kama nimekumbuka vyema. Sahihisho linakaribishwa.
 
Daaaa yaani hapa naicheki noti imeshindwa kutoka ktk ATM mpaka imechanika kwa jinsi ilivyochakaa imenasa nimevuta imechanika yaani mpaka hasira,huu mwisho wa mwezi unakutana na not mbofumbofu utafikiri imetoka kwa muuza mkaa . Ujinga huu.
Hongera kwa kupokea mshahara!
 
Wanakupa hizo mbovu ili uendelee kuziweka kwa akaunti yako angalao siku 4 mwanzo wa mwezi ujao ukienda tiyari zipo mpya tu. Hawa jamaa wanakupenda sana, usije maliza mshahara kabla ya mwanzo wa mwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom