Masoud Kipanya na Nathan mpangala wanachora katuni kwa kutumia vifaa gani jamani?

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Wakuu, husikeni kichwa cha thread hii hapo juu. Naomba mnitajie vifaa wanavyotumia hawa magwiji wawili katika vibonzo vyao. Mkinitajia na bei zake ntashukuru sana.

Naomba kuwathilisha
 
Cintiq-13HD-Interactive-Pen-Display.jpg
GENIUS-TABLET-BUNDLE-WITH-ADOBE-882x1024.jpg
Huion-h610-pro-painting-drawing-pen-tablet.jpg
Intuos-Pro-Pen-and-Touch-Medium-Tablet-PTH851Wacom-1024x683.jpg
wACOM-INTUOS-PEN-AND-TOUCH-GRAPHICS-PAD1.jpg
10.jpg
 
Wakuu, husikeni kichwa cha thread hii hapo juu. Naomba mnitajie vifaa wanavyotumia hawa magwiji wawili katika vibonzo vyao. Mkinitajia na bei zake ntashukuru sana.

Naomba kuwathilisha
 
mkuu me sijaelewa hapa anachokifanya bro masoud. Kuna watu wamesema anatumia tablet. hapa naona tena kuna kompyuta. mbona nachanganyikiwa
 
kaka, je ni kila tablet inaweza kutumika kwenye kuchorea??? au hizi ni special tu mambo kama haya.

pia bei zake zikoje???. na wapi ntapata. nipo Dar
Hizi ni special mkuu, unachomeka kwenye computer. ukitaka tablet pia zipo zinazoweza fanya hizo vitu ila nyingi ni zile high end kwa matokeo bora.
 
kaka, je ni kila tablet inaweza kutumika kwenye kuchorea??? au hizi ni special tu mambo kama haya.

pia bei zake zikoje???. na wapi ntapata. nipo Dar
Bei mkuu kwa mahitaji yako tu na specifications utakazo zinaanzia 30$-90$za kivwege kidogo labda kuchorea mangas na michoro simple mostly lines kama katuni then 100 -200$medium na zile pro kuanzia 300-2000$ hapa wale watu wa avatar na movies zingine za kizushi wanahusika hapa
 
kaka, je ni kila tablet inaweza kutumika kwenye kuchorea??? au hizi ni special tu mambo kama haya.

pia bei zake zikoje???. na wapi ntapata. nipo Dar
Tablet/ipad
Nzuri ni Ipad pro na Surface pro series 3, au 4.

Ipad pro....
drawingtabletscomparison.jpg

ipadpro-2-1024x683.jpg

Microsoft Surface pro3, 4
surfacepro3.jpg
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom