Wanajamvi naomba nielewesheni hapa kidogo.
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo wahanga wamekuwa wakipewa misaada mbalimbali pamoja na Michango kutoka kwa Magufuli.
Ningependa...
Helloh wakubwa na wadogo natumaini mu wazima wa afya
Mimi ni mtanzania halali wa taifa hili
Ila kwa sasa sina kitambulisho chochote zaidi ya cheti cha kuzaliwa sasa nilikuwa naomba msaada ya...
Wadau,mimi ni mdau wa mambo ya Utafiti na nimekuwa nashirikiana kwa ukaribu na Taasisi mojawapo inayopewa fedha za Utafiti na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) Kijitonyama Dar es...
Waajiri 126 katika jiji la Arusha wanategemewa kufikishwa mahakamani mwezi ujao Oktoba mwaka huu kwa kosa la kukatisha michango ya wafanyakazi wao kwenye Shirika la Hifadhi ya Jamii mkoani Arusha...
Watumishi wengi huwa na vikwazo kuanzia ngazi ya chini hasa vitu vyenye mafanikio kama malipo
Kwa mfano kuna hawa watu wa masijara yaani ni kero kwelikweli, unatuma barua yako kulikoni ifike...
Wakuu.
Huo ugonjwa ni mkubwa mno , alipo mtanzania na mkenya hata kama ni marafiki kwanza hawaaminiani, na urafiki wao utaegemea maslahi basi.
Sasa ukianza mjadala mkenya na mtanzania utacheka...
Wandugu ,
Naomba ushauri jaman kuna kibaka hapa mtaani(uswahilini) kwetu anasumbua sana kama mnavyojua uswahilini.kaniibia sana gheto kwangu kila siku huwa lazima apite aangalie cha kuiba
Sasa...
Kwa nini wazungu waliijenga Dar kiholela wakati kwao miji yao ilikuwe well planned. Angalia New York with well arranged roads. Wazungu walitudharau sana.
Shirika la afya ulimwenguni (WHO) limeripoti kuwa matukio milioni 25 ya utoaji mimba kila mwaka duniani kote si salama.
Kwa mujibu wa shirika hilo pamoja na taasisi moja nchini Marekani...
“After I told my father that I’d made it to Europe, I wanted nothing more than to turn that lie into the truth. I found a smuggler and told him my story.
He acted like he cared very much and...
1. Hakuna gharama za Break Fast (yaani kifungua kinywa)
2. Hakuna bugudha ya kuwahi bafu (kwa wale wenzangu wanaokaa nyumba yenye bafu na choo kimoja)
3. Hakuna bugudha ya kuweka alarm.
4. Huna...
Habari zenu wakuu?
Hivi kwa watu, walio makazini au waajiriwa mnapokuwa mnafanya kazi kuna changamoto au mambo mengi magumu kukutana nayo haijalishi unakuwa katika shirika au kampuni binafsi ama...
Ninajivunia kuwa na kiongozi kama wewe.
Lakini naogopa ninapoona umekaa kimya tena mara nyingine unahudhuria mialiko isiyofaa.
Nini kinakusibu hata uogope kulikemea pepo pale magogoni...
Nimeona kuna Tabia ya mtu kupost kitu ambacho kina mgusa mtu mmoja au ITIKADI ya mlengo furani.
Hii naona si sawa hata kidogo na kama mnataka hivyo nendeni upande wa pili huko ili mjidai huko na...
Naomba nitoe ombi langu la dhati kwa muheshimiwa raisi,
Sisi walimu tuliosomea masomo ya arts tupo mtaani tunahangaika, tunadhalilika, kwakukosa ajira, katika hali halisi asilimia kubwa tuliosoma...
Wapo watu katika safari ya maisha ambao wapo tayari kukusaidia kukua kimafanikio na kukuona wewe ukifanikiwa na pia wapo watu katika safari ya maisha ambao wao wapo tayari kukuona wewe ukikamwa na...
Habar wakuu polen na majumkum ya kujenga taifa,
Wakuu naomba kuuliza na kujuzwa juu ya tamko la serakali kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii upande wa sekta binafsi kuhusu kujitoa iwapo utaacha...
Nimefikiria sn kuhusiana na usalama wa hili taifa letu nikaona hii Amani tuliyo nayo imetulevya kiasi sasa tunelewa hatujitambui na tunalala milango wazi Mali zetu za ndani hazina ulinzi tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.