Utumishi na siri za ofisi

Utumishi na siri za ofisi

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
7,618
Reaction score
11,856
Watumishi wengi huwa na vikwazo kuanzia ngazi ya chini hasa vitu vyenye mafanikio kama malipo

Kwa mfano kuna hawa watu wa masijara yaani ni kero kwelikweli, unatuma barua yako kulikoni ifike sehemu husika inawekwa pembeni,

Unakuwa na subira lkn inashindikana kumbe kitu kiko pembeni.

Ila watumishi tunaoneana wivu na ndio maana tuambulia umasikini kwa sababu ya kukosa ushirikiano

Kuna wanakati unafika unakata tamaa kwa sababu ya hata mtu mmoja.
 
Kila mada humu jf Joseverest ni wakwanza kuchangia!
 
mi kipindi nimeajiriwa nlitaka nkajiendeleze looh! dada wa masjara alnfanyia roho mbaya nkaenda direct sehemu husika ila sio mbaya yule dada wiki mbili mbele akajisogeza kwenye kingi nilimla hadi hacra zangu zkaisha
 
Mwenzio ndo alikuwa anasubili hicho. Ulijisogeza mwenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom