Chautundu Wetu
Member
- Sep 27, 2017
- 9
- 90
1. Hakuna gharama za Break Fast (yaani kifungua kinywa)
2. Hakuna bugudha ya kuwahi bafu (kwa wale wenzangu wanaokaa nyumba yenye bafu na choo kimoja)
3. Hakuna bugudha ya kuweka alarm.
4. Huna pressure ya kukumbana na kibaridi cha asubuhi.
5. Kitanda kinafurahia uaminifu wangu wa kukutumia tu wakati wa usiku.
6. Unakuwa una nafasi kubwa ya kufurahia kale kamchezo ketu kale.
7. Unakua haraka, kama mwili wako una shukrani ukila vizuri unaongeza uzito hadi kunenepeana.
Vigezo na mashariti
1. Shuruti usiwe na majukumu. Usiwe mwanafunzi na wala usiwe na kazi na wala usiwe mlezi/mzazi.
2. Kulala hadi saa 6 kunahitaji utaalamu wa hali ya juu. Utaalamu huo ni maarufu kama 'uvivu'. Uwe ni mvivu.
3. Usiwe mwenye jasho lenye harufu mbaya. Kuna wale wachache wana harufu kali sana ya kijasho kile chembamba cha usiku. Ni marufuku kulala hadi saa 6.
4. Usiwe na malengo yoyote katika maisha yako. Malengo yatakupa mawazo ya kukukosesha usingizi kwa wasi wasi wa kupoteza mda kitandani.
5. Uwe na pesa ya pombe au uwe mtaalamu wa kumendea pombe za watu. Hii inakusaidia kusukuma usingizi siku nyingine hadi saa 8 mchana.
6. Usiwahi kulala. Narudia. Usiwahi kulala. Muda wako wa kulala ni kuanzia saa 6 usiku. Chini ya hapo marufuku.
7. Kusiwe distraction zozote, kama vile kelele za mziki za nyumba ya jirani, watoto wanaopitapita, mtu anaejifanya ana uchungu na muelekeo wako n.k
Angalizo: Hairuhusiwi chini ya umri wa miaka 18.