Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema si aibu kwa nchi kupata msaada kutoka nje kuchunguza tukio la kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika matangazo yenu ya mabadiliko ya bei za vifurushi mmeonesha kifurushi cha Azam plus ni Tsh 23000. Ndani ya kifurushi hicho inaonekana clouds plus ni kati ya channel zilizomo. Lakini...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Ndugu zangu hii bombadier imeshakuwa taabu kabisa! Ukiitaja tu kwa mtizamo hasi ama unamiminiwa masasi ya kutosha au unanyang'anywa jembe la kazi. Kwani ni lazima tuipende hii bombadier? Lissu...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
3 weeks ago nilipoteza birth certificate sasa nilipoenda HEADQUARTERS wakaniambia nikachukue loss report polisi, baada ya kufanya hivo niliwapelekea hiyo loss report then wakanipa form ya kuzaja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ipo katika mikakati ya ujenzi wa jengo jipya kwa ajili ya wagonjwa wa kulipia litakalogharimu Sh40 bilioni. Jengo hilo litakalokuwa na vitanda 250, lengo ni...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Katika ulimwengu wa uchangamano, ufikivu wa habari ni muhimu katika kujenga jamii yenye maarifa, iliyo shirikishi na endelevu. Huu ndio ujumbe wa Siku ya Kimataifa ya Ufikivu Habari kwa Wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona hii tabia mara kwa mara mida ya supu Asubuhi mida ya Lunch Na mida ya jioni Ombaomba wengi wanapita sana kuomba kwenye ma Bar wengine wakiwa wanasukumwa kwenye vibaiskeli Na wanaume wenye...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari waungwana!. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, 'kwanini ni mwanachama chama cha siasa?' Hili ni swali ninalojiuliza na kuwauliza vijana wengi kila tukipata wasahaa wa kubadilishana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Benedict Michael Wakulyamba, amepiga marufuku Vigodoro ndani ya jiji hilo kutokana na vitendo hivyo kuhamasisha uhalifu Akiongea ofisini kwake Benedict amesema...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
. Mkuu wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Mwanamvua Mlindoko amepiga marufu shughuli za kilimo na ufugaji katika hifadhi ya msitu wa Basanza wilayani humo kufuatia uharibifu mkubwa unaotokana na...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Huku mitaa ya kwetu kuna Sehemu moja ni kama Bar ndogo tu wanachoma mishkaki mizuri sana ,kitimoto na vinywaji vya gharama.ni sehem ndogo tu lakini so Excutive. Wanakuja kula na kunywa wadosi...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani kwa wale wa mkoa Mara naulizieni vyuo vinavyotoa coz ya computer kiwango cha diploma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunaambiwa kuwa kabla ya kuanzishwa ukoloni barani afrika, walitumwa watu kwa ajili ya kufanya upelelezi katika bara la afrika. na kwa watu waliopata kusimuliwa na kusoma historia juu ya...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Wananchi wa nchi ya Zimbabwe waliwahi kuandamana mitaani kwa kupanda bei ya `Mkate Wananchi wa nchi ya Kenya Leo hii watapiga kura ya kumkataa Uhuru Kenyatta kwa kushindwa kudhibiti mfumko wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huwa natafakari sana na kujikuta nikivaa shati maarufu kama "car wash" hasa nikiwa beach na marafiki zangu kwa sababu ya chale nilizoachiwa alama na mganga wa kienyeji asiyejulikana mgongoni...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Wahamiaji haramu wanane kutoka Ethiopia wamekamatwa wakisafirishwa kwa lori la kampuni ya Dangote kwenda Mtwara. Kaimu Kamishna wa Uhamiaji, Edward Chegero amesema leo Alhamisi...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kila uchao history umuhukumu mtu mweusi History humdhalili mtu mweusi History uwapa watu weupe uungu wakutawala fikra zetu History hutuumbia Malaika na shetani katika ngozi tofauti tofauti huku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye uelewa kuhusu namna gani vipindi vya televishen vinavyoendeshwa na kumilikiwa na watu binafsi vinawafaidisha? Vipindi kama mkasi, Rita Paulsen show,Sporah show, Mboni talk show...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wasalaam wadau, Niende moja kwa moja kwenye point, Hivi hii pesa inamkondo specific?Nimefuatilia historia ya ukoo wangu hadi mababu wa nne, hakuna mtu amewahi kuitwa tajiri. Mbaya zaidi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gani kilikusikitisha zaidi mwaka huu hasa kwenye siasa.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom