Tetesi: Ni kweli Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dr Hassan Mshinda katumbuliwa?

mbitiyanyalobo

New Member
Sep 27, 2017
1
0
Wadau,mimi ni mdau wa mambo ya Utafiti na nimekuwa nashirikiana kwa ukaribu na Taasisi mojawapo inayopewa fedha za Utafiti na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) Kijitonyama Dar es Saalam.

Kwa ufupi ni mdau wa Sayansi ambaye ninaamini Tanzania ikiwekeza vizuri kwenye utafiti hasa kwenye Taasisi za Elimu ya Juu basi tutakuwa na good innovation na kujikomboa kiuchumi

Kuna taarifa ambazo nimezipata punde kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo ametumbuliwa kwa matumizi mabaya ya ofisi,hasa upendeleo na ufujaji wa Fedha za Umma.kuna yeyote mwenye details kuhusu jambo hilo?

Kwa asiyemjua Dr Hassan Mshinda asome uzi uliofunguliwa mwaka 2011 Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...
 
binafs costech naona wamefeli mambo meng! tunahtaji mtu serious kwenye kuinua science tanzania! msituwekee watu waliosomea wanyama na mimea! nafikir naeleweka
 
Back
Top Bottom