fordzz
Member
- Mar 26, 2017
- 81
- 67
Habar wakuu polen na majumkum ya kujenga taifa,
Wakuu naomba kuuliza na kujuzwa juu ya tamko la serakali kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii upande wa sekta binafsi kuhusu kujitoa iwapo utaacha kaz au utaachishwa, je pesa ambazo ulikuwa tayar umeshachangia utawezaje kuzitoa ? Maana kuna mtu kanijuza hapa eti kama umejiandikisha bima ya afya huwezi kuzitoa mpaka miaka 55, hapo nabaki njia panda maana mimi nina miaka kumi sasa nipo sekta binafsi, so sijui utaratibu wa serikal kwa sasa juu ya mifuko hiyo, na hapa natarajia kuacha kazi, nilikuw nahitaji kujuzwa, NAWASILISHA,