mumak
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,069
- 661
Naomba nitoe ombi langu la dhati kwa muheshimiwa raisi,
Sisi walimu tuliosomea masomo ya arts tupo mtaani tunahangaika, tunadhalilika, kwakukosa ajira, katika hali halisi asilimia kubwa tuliosoma ualimu ni watoto wa masikini nafikili mheshimiwa raisi utakua unafahamu kwakua umeshapitia kada hiyo.
Kwahyo tunaomba sana utufikilie nasi angalau tuone tija kwa hiki tulichokisomea kwani tumepoteza uelekeo na haiba imeanza kupotea kabisa, tunatambua kuna idadi kubwa ya walimu wanaostaafu, wanaofaliki, wanaoacha ingawa kwa kiasi kidogo hivyo tunaomba serikali yako itufikilie ili kupunguza wimbi la vijana wasomi wanaoangaika mtaani, tuomba sana serikali itufikilie nasi.
Tunajua serikali inamambo mengi lakini idadi ya walimu wa arts iliyokua mtaani kwa awamu zote tatu sizan kama wanafika elf 60 kuanzianzi primary hadi sekondari,hivyo serikali inaweza kuwachukua wote kwa awamu moja au mbili ili kutupunguzia machungu ya maisha tunayopitia,