Msaada kuhusu hati ya kusafiria

Msaada kuhusu hati ya kusafiria

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Helloh wakubwa na wadogo natumaini mu wazima wa afya

Mimi ni mtanzania halali wa taifa hili
Ila kwa sasa sina kitambulisho chochote zaidi ya cheti cha kuzaliwa sasa nilikuwa naomba msaada ya kuwa ni jinsi gani naweza kupata pasport ya kusafiria na angali sina kitambulisho cha uraia wala mpiga kura… je naweza kutumia cheti cha kuzaliwa kupata pasport ya kusafiria na kwa utaratibu upi na ofisi zipi na kwa bei gani

Naombeni msaada wa mawazo hapo
Lakini pia inachukua muda gani kuipata


Msaada please
 
Ofisi yoyote ile ya Idara ya uhamiaji popote pale ilipo nchini Tanzania inakuhusu sana.
Huo ni msaada tosha mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom