Tujenge wenyewe kwanini sisi ni wajinga mpaka tujengewe?!!Kwa nini wazungu waliijenga Dar kiholela wakati kwao miji yao ilikuwe well planned. Angalia New York with well arranged roads. Wazungu walitudharau sana.
DoubleTree Suites by Hilton New York City - Times Square - New York - Hotels.com
Sasa Dar wameshaiharibu, si rahisi kubomoa nyumba zote ukaweka mpangilio mzuri wa barabara pana , zenye namba kama zinavyoonekana hapo. Tanga ndipo wajerumani walijaribu. Kuna beautiful numbered roads 1-22!Tujenge wenyewe kwanini sisi ni wajinga mpaka tujengewe?!!
Ni mipango tu hakuna kisichobomokaSasa Dar wameshaiharibu, si rahisi kubomoa nyumba zote ukaweka mpangilio mzuri wa barabara pana , zenye namba kama zinavyoonekana hapo. Tanga ndipo wajerumani walijaribu. Kuna beautiful numbered roads 1-22!
Uko sawa kabisa. Tanga wajerumani walijaribu. Kuna well arranged numbered roads 1-22. Zimepangwa vizuri na pana kiasi fulani??Wazungu kwa nchi kama yetu Tanganyika by that time kwa mfano hawakujenga miji yetu kwa mpangilio simply because they were never here to stay permanently.
Tanganyika ilikuwa just a pretoctarate colony so walishajua kuna siku wataondoka. Na hata wajerumani hawakujenga nchi yetu kwa vile kwa kipindi kile walichukulia chi yetu kama sehemu yao ya kujipatia mali ghafi (raw materials) kwa ajili ya viwanda vyao huko ulaya.
So nadhani kwa msingi huu ile dhana ya kuendeleza miji yetu haikupewa kipaumbele ndio maana hata mzizima kwa mfano alikuja kuiendeleza Mwalimu Nyerere.