Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ulichagua Topic nzuri sana juu ya miaka 18 bila ya Mwalimu katika kuzienzi tunu/nguzo/misingi ya taifa letu. Tatizo: Uchaguzi wa washiriki wake uliukosea. Si sahihi kumpambanisha Polepole na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwalimu wa madrasa, Abdillah Sharifu, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 11. Sharifu (30), mkazi wa Gongo la Mboto eneo la Moshi...
7 Reactions
90 Replies
11K Views
Zamani zetu (Wahenga), sana tulioishi vijijini hatukuogopa chochote zaidi ya waumiani. Wengi wenu sijui kama mlishalisikia Jina hilo. Usijali kua hujawaona mana hata mimi sijawahi kuwaona...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mods, naomba msiunganishe uzi huu na ule mwingine wa kusudio la serikali kuvinunua vichwa vilivyotelekezwa bandarini. Uzi huu ni wa watalaam kutoa maoni yao juu ya kufanya tathmini ya vichwa vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Najaribu kudhani kama kukiwepo na mikutaniko ya majeshi yote Dunia nzima kwa kutumia wawakilishi wao waliopitia mchujo. Kuwepo na kitu kama Olympic ya kijeshi ambapo wanajeshi watachuana kwenye...
0 Reactions
6 Replies
973 Views
jana Krismasi, wateja walikwenda banki ya CRDB Tawi la Mlimani City wakiamini itafunguliwa saa 4 asubuhi na kufungwa saa 8 mchana kama tangazo lao mlangoni linavyosema siku za wikiendi na sikukuu...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
October 2017 Trade Mark East Africa (TMEA) imeboresha mazingira ya kuwezesha biashara kupitia Electronic Payment Systems Taasisi ya Trade Mark East Africa (TMEA), imepongezwa kwa kuiwezesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda lengo langu ni kujua mazungumzo yamefikia wapi na kuna dalili chanya au hasi.Maana nilishtuka baada ya kukutana na malori yakitokea mgodini kakola yakiwa yamebeba vifaa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu ,nina uzoefu wa mwaka mmoja.Sasa najua humu kuna watu wengi wenye exposure na wanajua kampuni nyingi za kitanzania na za kigeni ambazo naweza kupeleka CV...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu,tokea nipigwe torch pale mataa ya jet kutokea airport nadhan nmepitiliza mda,so nw ni kupigwa faini tuu,sjajua naangaliaje kias nachodaiwa,maana last time nilikamatwa halaf nilipitiliza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wizara ya Madini kwa mara ya kwanza itafanya mnada wa madini ya Tanzanite kutoka kampuni nne za uchimbaji na biashara ya madini eneo la Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kaimu Kamishna...
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Nina maswali mengi najiuliza, lilikua uhakiki wa vyeti feki, wakawekwa hadharani, na kutimuliwa makazini, na sasa wanaingia uhakiki wa waliofoji umri, yaani waliopunguza umri, swali langu je kama...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Nimepata taarifa toka kwa wadau ambao walihudhuria kikao hicho kilichokuwa chini ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Masasi, kuwa walimu zaidi za 50 kutoka shule 10 wilayani humo waliitwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir amewaagiza makatibu wa mabaraza ya BAKWATA katika ngazi ya mikoa kufanya sensa ya kubaini waislamu waliopo katika mikoa yao. Mufti amesema kupitia...
7 Reactions
131 Replies
13K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume huru yenye nguvu ya kimahakama kwa ajili ya kuchunguza vifo, mauaji na mateso yaliyowahi kufanywa na...
7 Reactions
223 Replies
18K Views
Kama Imethibitishwa kuwa kuna watumishi elfu arobaini waliogushi umri, mnafanya uhakiki wa nini tena. Sio kwa vituko hivi! Tunajua kizungumkuti kilichotokea kwenye kusaka watumishi hewa, halafu...
27 Reactions
63 Replies
7K Views
Hii inafaa sana kwa matumizi ya kuepuka watu wasiojulikana
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, nimeona taarifa kutoka kwa Sheikh Mkuu wa BAKWATA akizungumzia saula la taasisi hiyo kufanya sensa ya waislamu nchini kwa nia nzuri kabisa. Sina shida na suala la kimaendeleo ila...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
Wadau, Wenye kujua Geography ya Mkoa wa Arusha, je ni kweli Mlima Meru kwa upande wa pili umepakana na nchi ya Kenya? Kama ni kweli ni mkoa upi? Karibuni.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kati ya miaka ya 1993 hadi 1994,95,96, kuna jamaa alitamba sana kuwalaghai mabinti na kuhakikisha anakufa na wengi, . . . Special coach alitumia pesa nyingi kuwaambukiza wadada ukimwi. NB. kwa...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Back
Top Bottom