Msaada: Majina ya Makampuni ninayoweza kuomba kazi nina Bsc in Electrical Engineering

Electric Drive

Senior Member
Nov 2, 2016
113
87
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu ,nina uzoefu wa mwaka mmoja.Sasa najua humu kuna watu wengi wenye exposure na wanajua kampuni nyingi za kitanzania na za kigeni ambazo naweza kupeleka CV zangu.Kazi za Electrical au hata Telecom niko tayari kufanya.
Thanks
 
Engineer unaomba kazi, ndio maana nasemaga nyie ni mafundi. Mhandisi hawezi kuajiriwa
Mkuu kila kitu kina mwanzo lazima uwe na sehemu ya kuanzia kwanza kupata ujuzi zaidi pili kutengeneza capital.kama umefuatilia wahandisi wenye makampuni hapa Dar wengi/karibu wote walianza kuajiriwa wakapata ujuzi wakajua industry vzuri,network na capital.
Ni vigumu kutoka shule ukaanzisha kampuni,usichukulie kirahisi japo una hoja nzuri.
 
Mkuu, kama unatafuta ajira kwa lengo la kupata capital... umepotea.
Hakuna ajira inayoweza kukupa mtaji unaoufikiria wewe, narudia tena HAKUNA.
 
Mkuu, kama unatafuta ajira kwa lengo la kupata capital... umepotea.
Hakuna ajira inayoweza kukupa mtaji unaoufikiria wewe, narudia tena HAKUNA.
Mkuu hiyo ni mada nyingine,nadhani tubaki kwenye lengo la Uzi nipate makampuni hayo kama nilivyoomba.Asante kwa ushauri.
 
Itakua degree ya pale coet si bure!wakati mnasoma ndoto kubwa hadi unaona chuo chako kalime kijijini kwenu upate capital,mjini saiv ni mwendo wa transition period
 
Itakua degree ya pale coet si bure!wakati mnasoma ndoto kubwa hadi unaona chuo chako kalime kijijini kwenu upate capital,mjini saiv ni mwendo wa transition period

Hahaha hawa wakiwaga chuo wanadanganyana chuo ni UD tu, sasa hivi ameshazunguka na bahasha hadi sole za viatu vimeisha anaulzia kampuni. Kuna vitu tunajifunza hapa
 
Kijana, kwakuwa una kiu kubwa sana ya kupata ajira... naomba nikupe njia ya haraka sana ya kupata ajira,

nenda website ya CRB download kitabu chenye list ya electrical contractors, maana hakuna contractor aliyesajiliwa bila kuwepo kwenye hyo list.

Ukishadownload, utakuwa na list ya contractors woooooooooooote wa umeme hapa tz.
Uzuri wa hiki kitabu, kina majina ya makampuni, adress zao na email ya kampuni.

Ukitoka hapo, nenda kwa mangi kanunue vocha yako ujiunge kifurushi chako cha data.

Kajifungie geto, uanze kutuma maombi kampuni moja moja, labda kwa siku unatuma emails kwenye kampuni 50.

Ukifanya zoezi hili kwa siku tatu, siku ya tano nadhan utakuwa unaripoti kazini,

MUHIMU: HAKIKISHA SIMU YAKO INA CHAJI MDA WOTE, MAANA ZITAANZA KUMIMINIKA MVUA ZA SIMU KUTOKA KWA WAAJIRI.

KAULI CHUNGU: kama ndo unahisi unaanza safari ya kutafuta mtaji, umepoteaa, ila kama unatafuta ela ya cadet na sim kali, hapo ndo mahala pake.

KILA LA KHERI MKUU.
 
Mkuu, kama unatafuta ajira kwa lengo la kupata capital... umepotea.
Hakuna ajira inayoweza kukupa mtaji unaoufikiria wewe, narudia tena HAKUNA.
Mtaji sio lazima cash
Hata exposure,network na experience ni sehemu ya mtaji!Pia ukiwa kazini kwa malengo unafanikiwa!
Ajira ni zaidi ya mshahara.
 
Back
Top Bottom