Walimu zaidi ya 50 wa sekondari halmashauri ya mji Masasi washinikizwa kufundisha shule za msingi

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,054
Nimepata taarifa toka kwa wadau ambao walihudhuria kikao hicho kilichokuwa chini ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Masasi, kuwa walimu zaidi za 50 kutoka shule 10 wilayani humo waliitwa katika ukumbi wa shule ya wasichana Masas ili kushinikizwa kwa kilichosemwa kuwa WANAAZIMWA hivyo siyo uhamisho hivyo hawana stahiki zozote za kulipwa.

Zoezi hilo lilihudhuriwa na maafisa wa TAKUKURU ngazi ya wilaya, maafisa wa jeshi la police, wakaguzi wa elimu na idara ya TSD. Mmoja wa walimu hao amesema kwamba, sifa zilizotumika kuteua walimu hao ni idadi ya vipindi kwa kila mwalimu jambo ambalo halijazingatiwa kwani walimu wenye vipindi vitatu wamebaki makazini na wale wenye vipindi vingi kama somo la kiingereza ambao wengi wao wana vipindi hadi 30 ndio ambao wamechukuliwa.

Mmoja wa walimu hao ameeleza pia mvutano ambao ulitawala kikao hicho ambacho kiukweli inaonesha wakuu wa shule wametumia chansi hiyo kuwaondoa wale wote waliohoji utawala.

Hii ndiyo Tanzania ya sasa yule great thinker anayehoji hoji mambo ya msingi anachukuliwa kama adui. Na yasemekana Halmashauri hiyo haijawahi kufanya vizuri hata ktk mitihani ya ngazi ya mkoa wa mtwara kutokana na plans nyingi za idara ya elimu kuwa hovyo.

My take: Hii mikoa ya kusini inatakiwa iangaliwe kwa ukaribu sana hasa katika elimu. Hivi mwl wa sekondari aliyesomea vitu tofauti kabisa na vya shule ya msingi atawezaje kufundisha level ambayo hata masomo yake yanatofautiana?

Naamini tutasikia sarakasi nyingi sana za viongozi wetu.
 
swali...

ni sheria gani inayotumiwa kuwahamisha hao walimu kwa kigezo cha kuazimwa?? ningekua mimi sihami kwenda popote. alafu wanishtaki
 
Kazi ya ualimu sio kama kazi ya kulima ama kungoa visiki , unaweza kumlazimisha MTU kufundisha akapretend kufundisha kumbe ki uhalisia anazuga tu. Kwangu mm hata Prof kufundisha primary sio tatizo, tatizo ni mazingira ya kazi ya utayar wa waalimu. Elimu itaendelea kufa kwa Sera zetu mbovu.
 
Shule za msingi kila mwalimu anaweza kufundisha haijalishi ni wasekondari ila heshima yake itakuwa mashakani
 
Nimepata taarifa toka kwa wadau ambao walihudhuria kikao hicho kilichokuwa chini ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Masasi, kuwa walimu zaidi za 50 kutoka shule 10 wilayani humo waliitwa katika ukumbi wa shule ya wasichana Masas ili kushinikizwa kwa kilichosemwa kuwa WANAAZIMWA hivyo siyo uhamisho hivyo hawana stahiki zozote za kulipwa.

Zoezi hilo lilihudhuriwa na maafisa wa TAKUKURU ngazi ya wilaya, maafisa wa jeshi la police, wakaguzi wa elimu na idara ya TSD. Mmoja wa walimu hao amesema kwamba, sifa zilizotumika kuteua walimu hao ni idadi ya vipindi kwa kila mwalimu jambo ambalo halijazingatiwa kwani walimu wenye vipindi vitatu wamebaki makazini na wale wenye vipindi vingi kama somo la kiingereza ambao wengi wao wana vipindi hadi 30 ndio ambao wamechukuliwa.

Mmoja wa walimu hao ameeleza pia mvutano ambao ulitawala kikao hicho ambacho kiukweli inaonesha wakuu wa shule wametumia chansi hiyo kuwaondoa wale wote waliohoji utawala.

Hii ndiyo Tanzania ya sasa yule great thinker anayehoji hoji mambo ya msingi anachukuliwa kama adui. Na yasemekana Halmashauri hiyo haijawahi kufanya vizuri hata ktk mitihani ya ngazi ya mkoa wa mtwara kutokana na plans nyingi za idara ya elimu kuwa hovyo.

My take: Hii mikoa ya kusini inatakiwa iangaliwe kwa ukaribu sana hasa katika elimu. Hivi mwl wa sekondari aliyesomea vitu tofauti kabisa na vya shule ya msingi atawezaje kufundisha level ambayo hata masomo yake yanatofautiana?

Naamini tutasikia sarakasi nyingi sana za viongozi wetu.
 
Nimepata taarifa toka kwa wadau ambao walihudhuria kikao hicho kilichokuwa chini ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Masasi, kuwa walimu zaidi za 50 kutoka shule 10 wilayani humo waliitwa katika ukumbi wa shule ya wasichana Masas ili kushinikizwa kwa kilichosemwa kuwa WANAAZIMWA hivyo siyo uhamisho hivyo hawana stahiki zozote za kulipwa.

Zoezi hilo lilihudhuriwa na maafisa wa TAKUKURU ngazi ya wilaya, maafisa wa jeshi la police, wakaguzi wa elimu na idara ya TSD. Mmoja wa walimu hao amesema kwamba, sifa zilizotumika kuteua walimu hao ni idadi ya vipindi kwa kila mwalimu jambo ambalo halijazingatiwa kwani walimu wenye vipindi vitatu wamebaki makazini na wale wenye vipindi vingi kama somo la kiingereza ambao wengi wao wana vipindi hadi 30 ndio ambao wamechukuliwa.

Mmoja wa walimu hao ameeleza pia mvutano ambao ulitawala kikao hicho ambacho kiukweli inaonesha wakuu wa shule wametumia chansi hiyo kuwaondoa wale wote waliohoji utawala.

Hii ndiyo Tanzania ya sasa yule great thinker anayehoji hoji mambo ya msingi anachukuliwa kama adui. Na yasemekana Halmashauri hiyo haijawahi kufanya vizuri hata ktk mitihani ya ngazi ya mkoa wa mtwara kutokana na plans nyingi za idara ya elimu kuwa hovyo.

My take: Hii mikoa ya kusini inatakiwa iangaliwe kwa ukaribu sana hasa katika elimu. Hivi mwl wa sekondari aliyesomea vitu tofauti kabisa na vya shule ya msingi atawezaje kufundisha level ambayo hata masomo yake yanatofautiana?

Naamini tutasikia sarakasi nyingi sana za viongozi wetu.
waende tu
 
Back
Top Bottom