Habari za asubuhi wakuu. Natumaini kwamba mko salama kabisa. Ni jambo la heri sana kwake Mungu kwetu sisi wanawe. Basi kwa kuanza niwapongeze wote kwa kuadhimisha kumbukizi ya Mwl J.K. Nyerere...
Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.
Kuleta hiyo video hapa mtandaoni...
Meli ya Mfalme wa Oman imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es- Salaam Tanzania na Mombasa Kenya.
Inategemewa kufika Zanzibar Tarehe 13 Oct...
Hiki kitu kinaniumiza kichwani na kunipa hasira kwa nini wanasiasa wanajipendelea kwa masilahi kwa ukubwa wa vyeo vyao lakini watumishi wakifanya kazi kama punda na kulipwa kiduchu . Hivi...
The Citizen (Dar es Salaam)
Tanzania: Why Muhongo Pulled Out of Race for Unesco Top Post
Mkinga Mkinga
23 September 2009
Dar es Salaam Lack of support from African countries forced...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo ameonyesha udhaifu wake wazi mbele ya wananchi wa Kata ya Muriet wakati akizindua kituo cha afya pale alipowaambia wananchi kuwa Wamwonee huruma ili wamchague...
Nimeskia hapa wa mama ambao elimu yao ni ya darasa la saba wakinena kua serikali ipongezwe kwa kidogo ilichofanya. Eti kisa zile ajira 400 kati ya maombi 30000.
Sasa nikawauliza ajira gani...
Habari wandugu.
Namtafuta jamaa fulani aliyehitimu form six pale Milambo High School - Tabora, mwaka 2007. Alikuwa maarufu sana kwa jina la 'Mwombeki'. Pia alikuwa mpiga picha mashuhuri shuleni...
Tazama Bwana Humphrey Polepole, Prof. Baregu na Prof. Mbwiliza wanachangia hoja kuhusu miaka 18 bila baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifaa aaliyoisimamia inaenziwa na kuendelezwa?
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisikia au kusoma maandishi ambayo yanamuelekeo wa kusema "fulani kaendelea"."Taifa fulani limepiga hatua katika maendeleo" au "maendeleo ni ushirikiano" au...
Katika kuwaza leo nimewaza hili!
Duniani tupo 7.4 billion nikajiuliza tuna madhehebu mengi sana na mengine ya amini miungu yao!
Ukianza na uislamu wao wanaamini Mungu sawa na christianis wote...
Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Dar es salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea wale wanaotumia mitandao ya jamii kumtukana Rais na kusisitiza kuwa wanaofanya hivyo wanawatukana...
Wakuu kuna mdau kanipa mil.2 taslimu nimuwekee kwa muda wa miezi mitatu,sasa kilichopo akilini mwangu imenijia idea kuwa within this time hivi hakuna mishe naweza nikaifanyia ijizungushe ili...
Habari wandugu?
Samahani naomba kuuliza kwa anayejua,
Hivi mgao wa Umeme umeanza tena?
Maana sielewi, tangu Baraza la Mawaziri lifanyiwe marekebisho huku kwetu Umeme unakatika kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.