TMEA imeboresha mazingira ya kufanya biashara kupitia Electronic Payment Systems

TMEA imeboresha mazingira ya kufanya biashara kupitia Electronic Payment Systems

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,681
Reaction score
37,567
October 2017

Trade Mark East Africa (TMEA) imeboresha mazingira ya kuwezesha biashara kupitia Electronic Payment Systems

Taasisi ya Trade Mark East Africa (TMEA), imepongezwa kwa kuiwezesha Tanzania, kuwa ndio nchi inayoongoza nchi zote za Afrika ya Mashariki, kwa matumizi ya mifumo ya malipo kwa njia ya Mtandao. Mfumo huo husaidia kasi ya kuweza kulipia wakati wowote iwe usiku, mchana au weekend huduma mbalimbali za kibiashara. Kwa njia hii mpya hivyo kupunguza gharama za kufanya biashara na wakati huo, kuifanya Tanzania kuwa ni nchi ya mfano wa kuingwa na nchi nyingine za Afrika ya Mashariki, katika kuboresha mazingira ya kufanya biashara.

Bw. John Ulanga amesema TMEA (TradeMark East Africa) imetumia zaidi ya Dola za Marekani US $ 600,000 katika kufanikisha mradi huu kwa kwa Chama cha Wafanyabiashara, wenye Viwanda na Kilimo cha Tanzania, TCCIA, lakini pia unahusisha Chama cha Wafanyabiashara, wenye Viwanda na Kilimo cha Zanzibar, (ZNCCIA).

Fedha za kugharimia mpango /mfumo wa malipo na kutoa hati za kuthibitisha nani mwenye/anazalisha bidhaa yaani vyeti vya uasilia (Certificate of Origin) kuonesha nani amezalisha bidhaa, zimetolewa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la kimataifa, (DFID) kupitia TradeMark East Africa, (TMEA) inayosimamia utekelezaji wa mradi huo.

Bw. John Ulanga amesema maboresha ya biashara, yanafungua zaidi fursa za Watanzania kufanya biashara, kilichobaki ni kwa Watanzania kuchangamkia fursa hizo, kwa hoja kuwa fursa hazingoji mtu, tukishindwa kuzichangamkia fursa hizi, zitachangamkiwa na wengine.

Kwa upande wake, Rais wa TCCIA Ndibalema Mayanja amesema "Tunaishukuru sana TMEA kwa misaada wa kugharimia mfumo huu, muhimu ambao utaokoa muda na kupunguza gharama, kwani muda ni mali muhimu sana kwa mfanyabiashara yoyote, ukiokoa muda, umeokoa fedha na umeongeza faida”, hivyo LIPA FASTA itaongeza kasi ya usajili wa vyetu vya uasili kuongeza kasi ya kufanya biashara.
Source: Info /video by Pascal Mayalla
 
TradeMark East Africa Yawezesha Zanzibar kutumia SMS Kuripoti Vikwazo vya Biashara.

TRADE EFFICIENCY BOOSTED IN ZANZIBAR WITH LAUNCH OF NTB
MONITORING AND ELECTRONIC CERTIFICATE OF ORIGIN SYSTEMS

• The project is carried out in collaboration between TCCIA and ZNCCIA. The project started in 2012 at TCCIA and was then extended to ZNCCIA in 2016.
• TMEA has already invested more than $600,000 in the project (TCCIA & ZNCCIA).
• ZNCCIA has benefitted from ICT equipment to operationalize the system, solar system as a backup power for the system, consultancy to develop the system and a Technical Assistant to coordinate the project.
Zanzibar, Tanzania, 15th May, 2017 – Trade efficiency systems in Zanzibar is expected to become efficient with launch of an NTB monitoring and electronic certificate of origin systems by the Zanzibar National Chamber of Commerce Industry and Agriculture (ZNCCIA). Both systems have been supported by TradeMark East Africa (TMEA). The two systems have been developed as part of efforts by the Zanzibar private sector to facilitate advocacy and monitoring of NTBs. The launch was graced by the Zanzibar Minister of Trade, Industry and Marketing, Honorable Amina Salum Ali, ZNCCIA Executive Director, Ms. Munira Humoud and TMEA Tanzania Country Director, John Ulanga.

The two systems will support ZNCCIA in fulfilling its goals of improving the business environment in Zanzibar by developing evidence based advocacy through realistic data and information gathered by the aid of the NTB monitoring system. The electronic certificate of origin will ease the issuance of certificates of origin by reducing physical movements and time taken to process the document. The target is to reduce the time for issuance of the certificates from the current four days to just a few hours.

Two similar systems have been launched by TCCIA where more than 1000 certificates of origin have been issued electronically and more than 90 NTBs eliminated as the result of evidence based advocacy carried out by the private sector. More than 2000 SMS have been received in the NTB SMS system at TCCIA. This information will be catalogued with an aim of eliminating those NTBs identified through the private sector advocacy platform.

The UK government through the department for international development (DFID) has provided its generous support to TMEA to fund these projects.

The Guest of Honor during the launch, the Minister of Trade, Industry and Marketing in Zanzibar Honorable Amina Salum Ali, said, “The Zanzibar government commends TMEA for this important support which is expected to boost trade efficiency and improve Zanzibar’s business competitiveness.”

Speaking on the agreement, TMEA Tanzania Country Director John Ulanga said, “We as TMEA are happy to support these two systems which are aimed at improving trade efficiency in Zanzibar while addressing and eliminating NTBs that curtail growth of trade. The private sector will now be armed with information to enable them advocate for improved and competitive business environment here Zanzibar”

On her part, ZNCCIA Executive Director, Ms.Munira Humoud said, “Grateful to TMEA for extending their support to ZNNCIA with these two important systems which are expected to boost the isles competitiveness through evidence based advocacy and providing an efficient system that issues certificates of origin in just a few hours. We expect these two systems to contribute significantly to the improved business competitiveness here in Zanzibar.”
Source: Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom