Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wandugu za Weekend, Tukimuenzi pasipo hili si sawa, walivunja Azimio lile ndio wakazaliwa wapigaji wa mali za umma ndani ya serikali, kama akisikia tu Azimio la Arusha atacheka kwa furaha huko alipo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekua kauli nyingi kuhusu kupandisha mishahara ya watumishi. TUCTA, RAAWU, TUGHE na vinginevyo, vipo kimia linapofika swala lakutetea watumishi. Kila siku uhakiki usio isha, hali ya kiuchumi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nchi hii sio ya mtu mmoja wala wachache kufurahi. Hela za umma zakununua madiwa zipo. Huko nikuchezea hela za walipa kodi. Hela zakuanzisha vimiradi hovyo hvyo bila mpangilio zipo. Yaani serekari...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Salam wakuu, Kwanza Kabisa niweke wazi Mimi si muumini wa Mange na huwa sivutiwi naye hata kidogo kutokana na namna anavyoatack watu hadi familia zao. Lakini kwa Mara ya kwanza leo nimeshtuka...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
KWELI TUJIFUNZE KUPITIA HILI Ebu tujikumbushe kidogo katika siku hii ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa HAYATI Mwl. Julius Kambarage Trh 14/10 na ikiwa ni miaka 18 tangu atutoke. Mwl. Nyerere katika...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK AMERICAN POST: Hello, my name is Sandra Stone, I am from New York, I love my husband so much and I can do Anything...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mfanyabiashara mchina ambaye amekuwa akifanya biashara zake Afrika na Uchina, ameweka picha kwenye jumba la makumbusho huko Uchina katika jimbo la Hubei. Kwa hivi sasa hizo picha zimeondolewa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanajamvi, Nikama nawachosha, lakini ukiwa kwenye jukwaa hili uchovu wako peleka MMU ukatulizwe, Naam naomba msaada wenu, mtanzania ama mzungu yeyote mwenye picha ya Hayati Baba wa Taifa Mzee...
0 Reactions
114 Replies
37K Views
Si kwa wingi huu wa Leo huku Barabarani. Ukipita bila kupigwa mkono unashukuru MUNGU.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mambo yanahitaji umakini, hofu ya Mungu na utulivu wa akili sana. Mchungaji Gwajima naomab unisamehe km nitatumia ulinganifu usio makini sana. Kwanza mimi sikuwa nakujua ,wala kukufuatilia...
9 Reactions
92 Replies
13K Views
The spiritual rest, which God particularly intends in this Commandment, is this: That we not only cease from our labor and trade, but much more, that we let God alone work in us and that we do...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Hamjambo wadau? Kumekuwa na tabia ya wahubiri injili, Wakiwemo wachungaji, mitume, manabii nk kuwa na ulinzi wa mabodigadi wa kutosha. Pichani yasadikiwa ni mtumishi ambaye ameamua yeye binafsi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeripotiwa kwamba, serikali imewaambia TUCTA kuacha siasa. Binafsi, sioni usiasa wa TUCTA kwa hili, ila naona usiasa kuitaja CHADEMA kuhusishwa kusambaza hicho ambacho leo hii tunaaminishwa...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Jeshi letu la Polisi lipo kwa mujibu wa sheria. Kazi kubwa ni kulinda usalama wa raia na mali zake. Sina uhakika kama sisi raia tunaolindwa, tunahitaji kujua sana ukakamavu wao, au pengine na...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ulichagua Topic nzuri sana juu ya miaka 18 bila ya Mwalimu katika kuzienzi tunu/nguzo/misingi ya taifa letu. Tatizo: Uchaguzi wa washiriki wake uliukosea. Si sahihi kumpambanisha Polepole na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwalimu wa madrasa, Abdillah Sharifu, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 11. Sharifu (30), mkazi wa Gongo la Mboto eneo la Moshi...
7 Reactions
90 Replies
11K Views
Zamani zetu (Wahenga), sana tulioishi vijijini hatukuogopa chochote zaidi ya waumiani. Wengi wenu sijui kama mlishalisikia Jina hilo. Usijali kua hujawaona mana hata mimi sijawahi kuwaona...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mods, naomba msiunganishe uzi huu na ule mwingine wa kusudio la serikali kuvinunua vichwa vilivyotelekezwa bandarini. Uzi huu ni wa watalaam kutoa maoni yao juu ya kufanya tathmini ya vichwa vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Najaribu kudhani kama kukiwepo na mikutaniko ya majeshi yote Dunia nzima kwa kutumia wawakilishi wao waliopitia mchujo. Kuwepo na kitu kama Olympic ya kijeshi ambapo wanajeshi watachuana kwenye...
0 Reactions
6 Replies
973 Views
jana Krismasi, wateja walikwenda banki ya CRDB Tawi la Mlimani City wakiamini itafunguliwa saa 4 asubuhi na kufungwa saa 8 mchana kama tangazo lao mlangoni linavyosema siku za wikiendi na sikukuu...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Back
Top Bottom