Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jambazi mmoja ameuawa na wananchi wakati akiwatoroka askari baada ya kubainika kufanya jaribio la kufanya uhalifu katika mradi wa ujenzi wa kituo cha pamoja cha forodha OSBP Tunduma mkoani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi.Josephine Matiro ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wanasiasa kuwakamata wazazi waliotelekeza familia kwa kushindwa kuzihudumia hali iliyosababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba leo niliweke hili sawa, Nilipokuwa mdogo sana (9) nilikuwa kwa babu mzaa mama kijiji cha pili wakati wa likizo ya shule, pale nilikutana na wadogo zake bibi wa kiume 2 ambao mimi ni...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wana ndugu.Kwa experience yangu ya kuwa first born katika familia yetu naweza hii nafasi inachangamoto sana tena sana.Ukiacha priorities chache ambazo kama mzaliwa wa kwanza ambazo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimekaa nikatafakari kitendo cha baadhi ya viongozi hususani wale wateule ambao mara nyingi wamekuwa hawawezi kufanya mambo ya maendeleo mpaka wajinadi au kujionyesha kupitia vyombo vya habari...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini? Sasa hivi Raila Odinga yuko kwa Muzungu Uingereza kumshitaki Raisi Uhuru Kenya, Tundu Lisu eti ili asishikwe na Askari wetu akaenda kuchukuwa mdada trainee wa Kizungu ambaye...
0 Reactions
7 Replies
924 Views
Wana Jf, Siku hizi watumishi wa Umma wana raha sana maana unaweza ukapata taarifa zako ikiwemo na salary slip kwenye mtandao muda wote uzuri unawekewa salary slip ya miezi kadhaa ya huko nyuma...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo amekagua na kufungua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi kilole, Matondoro, na Kilimani na kuweka jiwe la...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wale waumni wa Katoliki, habari ya kusikitisha TANROADS wametoa notice ya wiki moja kanisa liwe limebomolewa. Tetesi
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Mwanza. Watu 13 wamejeruhiwa na nyumba 479 zimeharibiwa na mvua ya upepo wilayani Kwimba mkoani Mwanza. Miongoni mwa majengo yaliyoharibika kutokana na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia jana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Leo naanza na kuuliza: Mkoa wa Njombe una wilaya ngapi? ambazo ni? Mkoa wa Iringa una wilaya ngapi? ambazo ni? Naomba majibu yenye kutujenga tuache mzaha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya Camel Oil ya Dar es salaam imeingia katika kashfa ya kughushi nyaraka za seirkali ili kujipatia ardhi na mali katika kiwanja namba 130 Kitalu A. Manzese jijini Dar es Salaam Nyaraka...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Mwenye kujua jina la huu mmea na sababu ya wenyewe kufanya hivyo anijuze wakuu
0 Reactions
39 Replies
16K Views
Huwa sishabikii mambo ambayo hutokea bila evidence na bila matumizi ya logic. Hii tabia ya kuuana ambapo police wanakuwa wanaizowea na kujifakharisha nayo itafika siku italigharimu taifa. Taifa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
wiki ijayo naelekea kanda ya ziwa,musoma mkoa wa mara.Kwa wanaokaa huko ni viwanja vipi vikali kwa burudani na kupumzikia?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Na Florian Kaiza HUENDA ni jambo lisiloingia akilini kwa hali ya kawaida, pale mwenendo uonekanao ni dhambi kwa Mungu, kutetewa na mtu atambuliwaye na wengi ni Mcha-Mungu! Hata hivyo, kwa mujibu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya Serikali ya wanyonge kupewa makavu na bwana Dangote huko London kwenye mkutano wa wawekezaji kuhusu Africa,wana lumumba walikuja juu na kusema kama vipi aende zake tu tuna matajiri wa...
20 Reactions
71 Replies
9K Views
Wakuu heshima kwenu, Nimepoteza simu na pochi maeneo ya Tanga mjini hadi Pongwe, sina hakika ni wapi ila nilipanda daladala alasiri hii. Naomba kujua namna ya kubock simu yangu isiendelee na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baadhi ya vichocheo vya ugonjwa huo kuwa ni pamoja na unywaji pombe, matumizi ya dawa za kulevya, ugumu wa maisha unaochangiwa na msongo wa mawazo, Morogoro. Matumizi ya vilevi mbalimbali ni moja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom