kikokoti
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 678
- 275
Kati ya miaka ya 1993 hadi 1994,95,96, kuna jamaa alitamba sana kuwalaghai mabinti na kuhakikisha anakufa na wengi,
.
.
.
Special coach alitumia pesa nyingi kuwaambukiza wadada ukimwi.
NB. kwa kipindi hki cha magufuli ukiona mwanaume anatumia pesa nyingi kwaajili ya kupata papuchi ucjione una bahati,