Hii inafaa sana kwa matumizi ya kuepuka watu wasiojulikana
Ukitumia rocket launcher au highly explosive rounds hiyo gari sio salamaWatu wasiojulikana wanaweza kukufata popote hata ukiwa nje ya gari
ikigunduliwa itakua poa sana😀Muhimu ni ngozi isiyopenyeza risasi
Yanini yote hayo? Browning 50cal kioo kinasambaaUkitumia rocket launcher au highly explosive rounds hiyo gari sio salama
Hiyo kioo ni mwisho,likiwa bunduki na nguvu sana risasi inahamishwa.Yanini yote hayo? Browning 50cal kioo kinasambaaView attachment 608526
Thubutuu!!!! Inapenya kama kwenye siagiHiyo kioo ni mwisho,likiwa bunduki na nguvu sana risasi inahamishwa.
Umeona hapo inatoa layer ya kwanza tu,sijui zilo ngapi.
😀Sisi tuna akili zisizopenyesha ushauri wa aina yoyote.