Dk. Bilal ana ajenda gani?
Omar Maftah, Mkunazini, Zanzibar
Tanzania ni nchi yenye bahati nzuri ambayo inawapa wananchi wake fursa kubwa ya kuzungumza na kujadili mambo yanayowahusu wao au...
Wakuu Leo baada ya kuwasha TV na kukuta maadhimisho ya siku ya kifo cha baba wa taifa mwl J.K Nyerere basi nikakumbuka miaka 21 iliyopita ambayo ndo ilikua siku ya kwanza kuona video katika Yale...
Majenerata 7 kati ya 9 ya shirika la umeme Tanesco yameharibika, yamebaki majenerata 2 yenye uwezo wa kuzalisha 4 MW za umeme ambazo ni mdogo mno.
Mgao wa umeme umeanza rasmi Mtwara na Lindi na...
Kumekuwepo na vitisho nchini kwa watu ambao wanatoa maoni ya kuichukiza serikali. Hili kwa kweli halipo sawa maana watu wanatakiwa watoe ya moyoni kwani wakiyatunza akilini na moyoni ni hatari...
Habari za asubuhi wakuu. Natumaini kwamba mko salama kabisa. Ni jambo la heri sana kwake Mungu kwetu sisi wanawe. Basi kwa kuanza niwapongeze wote kwa kuadhimisha kumbukizi ya Mwl J.K. Nyerere...
Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.
Kuleta hiyo video hapa mtandaoni...
Meli ya Mfalme wa Oman imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es- Salaam Tanzania na Mombasa Kenya.
Inategemewa kufika Zanzibar Tarehe 13 Oct...
Hiki kitu kinaniumiza kichwani na kunipa hasira kwa nini wanasiasa wanajipendelea kwa masilahi kwa ukubwa wa vyeo vyao lakini watumishi wakifanya kazi kama punda na kulipwa kiduchu . Hivi...
The Citizen (Dar es Salaam)
Tanzania: Why Muhongo Pulled Out of Race for Unesco Top Post
Mkinga Mkinga
23 September 2009
Dar es Salaam Lack of support from African countries forced...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo ameonyesha udhaifu wake wazi mbele ya wananchi wa Kata ya Muriet wakati akizindua kituo cha afya pale alipowaambia wananchi kuwa Wamwonee huruma ili wamchague...
Nimeskia hapa wa mama ambao elimu yao ni ya darasa la saba wakinena kua serikali ipongezwe kwa kidogo ilichofanya. Eti kisa zile ajira 400 kati ya maombi 30000.
Sasa nikawauliza ajira gani...
Habari wandugu.
Namtafuta jamaa fulani aliyehitimu form six pale Milambo High School - Tabora, mwaka 2007. Alikuwa maarufu sana kwa jina la 'Mwombeki'. Pia alikuwa mpiga picha mashuhuri shuleni...
Tazama Bwana Humphrey Polepole, Prof. Baregu na Prof. Mbwiliza wanachangia hoja kuhusu miaka 18 bila baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifaa aaliyoisimamia inaenziwa na kuendelezwa?